Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

Ila kwa 30000 haupati eau de parfum, hata eau de toilette haupati. Perfume za Hugo Boss zina anzia USD 30 ( kwenye sale). Kama kweli unataka products za Hugo Boss, kwa bajeti hiyo unaweza kupata Boss deodorant roll on au stick.

Ila kwa nini usiziache tu kama zina kusumbua? Kuna deodorants nyingi hazina harufu kabisa ila zinazuia harufu ya jasho.

Amandla...
 
Kwa joto hili si mtu unyunyu wa mchaichai fresh kabisa
 
Ukiwa na maana inatofauti gan EDP kwenye hii context

Utofauti upo kwenye concentration ya fragrance...

Perfume (Parfum) fragrance concentration inapaswa iwe zaidi ya 15% ya contents zote, hivyo CK One ni EDT tu hapo...

Evaluation-of-contaminants-in-perfume-colognes-and-health-.webp


Sasa huyu ndugu yetu anataka either EDP or P, hivyo inapaswa aelekezwe kulingana na uhitaji wake, isipokuwa kiwango cha bajeti yake ni kidogo atapata labda mafuta (oil parfum)
 
Back
Top Bottom