Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali

Je, perfume ipi ambayo imepoa itafaa kwa matumizi yangu bila kuniletea shida ya mafua makali bajeti yangu isizidi 30,000
Emotion
 
Inasikitisha vijana wenye ndevu wapo bize na mambo ya kike perfume badala ya kujenga Nchi
Vijana waliolelewa na Single Mazza wanawaza Umario, Kampeni ya Kataa Ndoa, Kulamba rips za Midomo, Kuvaa ili wapendeze, Pafyumu nzuri, Viwanja Vikali vya mitoko not otherwise. Akili yao hawataki kuishughulisha.
 
Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali

Je, perfume ipi ambayo imepoa itafaa kwa matumizi yangu bila kuniletea shida ya mafua makali bajeti yangu isizidi 30,000

Kwa hiyo budget ngoja waje wadau wazoefu wa bugdet hiyo wakusaidie...

Ila wapo jamaa wanaouza mafuta ya kunukia "oil perfume", maybe waweza ambulia kichupa kidogo kwa bei hiyo...
 
Back
Top Bottom