DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Taja bajeti yako kwanza,maana ziko mpka za milioni mkuu...
Bajeti yake elfu thelathini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja bajeti yako kwanza,maana ziko mpka za milioni mkuu...
Ufue shuka sasaUkiikuta duka la jumla bei ni hio ila duka la reja ni zaidi ya elfu hamsini.View attachment 2920975
Sawa bossTafuta Yolanda Mkuu, hutojutia 30k Yako 🤭
Perfume, viwanja vikali, kuvaa vizuri vinahitaji pesa mkuu so usiwachukulie poa wanatafuta pesa ili kuvipata hivyo. Halafu kuna maana gani kuwa na pesa nyingi halafu uwe mchafu mchafu unanuka nuka, sasa pesa unatafuta ya nini. Ni sawa na kuwa na pesa nyingi lakini huli vizuri unalala kwa tabu lakini akaunti imevimba then ukifa wenzako wanazitafuna hovyo kuliko wewe uliyehangaika.Vijana waliolelewa na Single Mazza wanawaza Umario, Kampeni ya Kataa Ndoa, Kulamba rips za Midomo, Kuvaa ili wapendeze, Pafyumu nzuri, Viwanja Vikali vya mitoko not otherwise. Akili yao hawataki kuishughulisha.
Hahahaha kama we huwez ruhusu kuikosa hio set ndio ambavyo mwenzio haruhusu kuikosa hio perfumeKuna watu wana mipesa na hawajali, nilibaki nakodoa macho maana nina ubahili kidogo ingawa najipenda balaa.
Lotion ninayo paka pale SH Amon ni elfu 70, 000 naichanganya na oil mbili kila chupa ya oil ni 30, 000 so oil mbili 60, 000 sabuni ninayoogea ni 15,000.
Kila baada ya miezi miwili nachukuwa hiyo set jumla 145,000/=
Juzi nimekuta bei imeongezeka kidogo nikaanza kulalamika, wakati nalalamika akaingia mkaka hivi kaulizia perfumu fulani ipo? Wakasema ndio, akauliza sh ngapi eti 520,000/= nyie yule kaka alilipia hiyo perfume na hakubisha kama mimi nilivyo kuwa nalalama lotion yangu kuongezeka bei.
Nikajisemea haya matoto ndo yamezaliwa kwenye familiya za kitajili hayajuagi hata kodi ya nyumba. Alafu lilikuwa lidogo tu halina hata miaka 40
Siwezi toa hiyo pesa sababu ya perfume.
Hivi kuna watu wanaopenda harufu ya asili?mimi binafsi napenda sana kunukia,na mtu wangu wa karibu asipokuwa ananukia hatutaelewana,hivyo hiyo ya asili wakae nayo tu...Oga vizuru, kulq asilimia kubwa ya vyakula vya ardhini (mbogamboga na nafaka), kunywa maji mengi, paka mafuta ya kawaida tu ya mgando ili kulinda ngozi. Hasa yale ya asili.
Huitaji perfume, utatoa harufu safi na nzuri tu ya asili.
Wakikujibu unitagKwani hakuna unyunyu uliotulia chini ya buku ten
Ni nzuri 👍
Ukiwa na maana inatofauti gan EDP kwenye hii contextHaiwezi kuwa bei hiyo, CK One halafu ni EDT
Sio ya kutoa mafua ila its amazing smell ilitaka kufanana na air fresher zile za magari.Vp kuhisu harufu si kali
PoaWakikujibu unitag