monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Weka picha na bei boss wanguhugo boss π
mkuu hapa ndipo ulipoonekana wewe ni mswahili na huna uhitaji.Weka picha na bei boss wangu
tuko wengi βπ½Upo kama mimi, hata mwingine aliyepuliza akinisogelea inaleta shida
Nimesearch zimekuja chupa za aina nyingi zenye jina kama hilo sasa mkuu naenda kuuliza kitu dukan hata bei sijui nikiambiwa kinauzwa milioni 1 jemkuu hapa ndipo ulipoonekana wewe ni mswahili na huna uhitaji.
Umetajiwa jina hugo boss nenda dukani kanunue
Isizidi 30,000Taja bajeti yako kwanza,maana ziko mpka za milioni mkuu...
Inauzwaje mkuuNunua Toolbox iko bomba sana harufu yake haikeri
Ukiikuta duka la jumla bei ni hio ila duka la reja ni zaidi ya elfu hamsini.Inauzwaje mkuu
ππππ Dahh! Unataka jamaa akae kama beberu au siyo?Inasikitisha vijana wenye ndevu wapo bize na mambo ya kike perfume badala ya kujenga Nchi