Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Ina kwenda hadi 250,000 boss. Nilinunua kwa jamaa miezi kama 4 hivi imepita
unamaanisha laki ngapi?
Mh! hapa hapanifai!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina kwenda hadi 250,000 boss. Nilinunua kwa jamaa miezi kama 4 hivi imepita
unamaanisha laki ngapi?
Mh! hapa hapanifai!
yah sometimes,but ndo nayoipenda.
Mkuu mimi nilinunua laki mbili tena sababu ni mshkaji wangu. We unashangaa hiyo wakati watu wananunua hadi za $800...
sasa wewe ni ke? si wameulizwa wanawake mkuu au hukuelewa mada?
kwa niaba ya dem wangu nina haki ya kuchangia hii mada
mkuu! Mihela yote hiyo... Vp kunakuwa na mke ndani yake?
Wacha mi nibaki kwenye za elfu 5-15
nikijifanya kuiga hapa.. ndo mwanzo wa biashara yangu kufirisika
mkuu embu check vizuri mbona sikukuquote wewe?
Ni kweli boss wewe fanya kitu kulingana na uwezo wako. Ukiiga mtu unaweza filisika ati..
Mmh cjawah na cpend perfume kbsaa,vp kuhusu sabuni ipi ni nzuri kwa kuogea hasa kwa wanaume isiyochubua ila inazngatia afya
Ni kweli boss wewe fanya kitu kulingana na uwezo wako. Ukiiga mtu unaweza filisika ati..
EU De Toilette kifaransa ni maji ya chooni. HahahaaaaaaDe Toilette ni nini...
nadhani we unataka kubishana tu,hapo nilikuwa kwenye conversation na mtu mwingine na sikuwa najibu swali aliyouliza mleta mada ila kumjibu member mwingine,umekurupuka nadhani hata jibu uliyoquote hapo unatambua mwenyewe haikumjibu mleta mada ila kumreply member mwingine tofauti.sasa wewe ni ke? si wameulizwa wanawake mkuu au hukuelewa mada?