Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

kumbe unazijua
udi gani mzuri kwa mwanamke akiwa anataka kumvuta mumewe in bed?
nataka nimnunulie mwenzio lol

Nazijua.

Kama udi wa kuchoma na mkaa ni hadi uskilizishwe harufu coz udi sana wanapika wa Oman au Dubai na inawekwa kwenye chupa za jam au tang. So hauna majina.

Kama al oud ya kupaka tumia products za al haramayn au rasasi. Nazo pia ni vizuri kuskiliza harufu, mana unaweza ukapewa jina lkn ukapata ya hatufu kali sana.

Nliwahi kuona Dar, shoppers plaza. Maduka ya first floor wanakouzaga vitu vya kike.
 
Hahahahahahhahahahahhaha for sure you make my day greattttttttt hahahahahhahahahah
 
Naomba kujua ni ipi yenye harufu nzuri na iliyotulia.
 
Mi natumia Knowledge,Royale blue+iseymiyake body spray ni mzux sanaaa
 
Naomba kujua ni ipi yenye harufu nzuri na iliyotulia.

Tumia product ya Dior. Perfumes zake bab kubwa. Lkn na bei mmhu. Tayarisha laki 3 au 4 kwa perfume.

Docle & gabbana pia wazuri
Gucci pia wazuri
Estee lauder pia wazuri
212 New York pia wazuri. Nk
 
Kuna perfume inaitwa ngawira. hii hata uwe kibabu kama unayo na uko tayari kugawana na hawa wadudu hata wabunge utawapata
 
Back
Top Bottom