Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
kumbe unazijua
udi gani mzuri kwa mwanamke akiwa anataka kumvuta mumewe in bed?
nataka nimnunulie mwenzio lol
Nazijua.
Kama udi wa kuchoma na mkaa ni hadi uskilizishwe harufu coz udi sana wanapika wa Oman au Dubai na inawekwa kwenye chupa za jam au tang. So hauna majina.
Kama al oud ya kupaka tumia products za al haramayn au rasasi. Nazo pia ni vizuri kuskiliza harufu, mana unaweza ukapewa jina lkn ukapata ya hatufu kali sana.
Nliwahi kuona Dar, shoppers plaza. Maduka ya first floor wanakouzaga vitu vya kike.