Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi hicho kulikuwa pia na perfume kali kama sumu ya nyoka inaitwa Gift of Zanzibar....
Ukiingia kwenye Hall la disco ya sekonari unakuta form 2 wote wamejipulizia kama vile wameioga....
Babu DC!!
Perfume ni nini?
Body Spray ni nini?
Cologne ni nini?
Fragrance ni nini?
Deodorant ni nini?
Tunaweza fikiri tunayoyajua kila mtu anayajua
so kwa faida ya wengi tuanze na hapo....
Kuna al oud, kuna body mist. Wajuzi waje watujuze yote hayo.
wewe waonekana mjuzi pia
hebu anza baasi
Ah wapi. Mi mtumiaji mzuri sana wa perfumes na al oud na body mist lkn apo kwenye kujua iki nini na iki nini na vinatumikaje ndo shughuli.
Labda najua perfumes yapuliziwa kwenye nguo, na body mist au body spray ni kwenye bodies.
Body mist unaweza ukapulizia kwenye the whole body mpk vidole vya miguu na inalast the whole day. (origin ones) . Na body spray ni for the armpits and labda shingoni.
Aloud pia ni kwa mwili, na izi hua kama mafuta mazito, hayana spirit, na chupa zake hazina ku spray.
Haya nshaanza, endelea na wewe.
Na kuna perfume nakumbuka inaitwa The Boss ktk perfume best na ghali. Sijui ndo unayotumia wewe?
Ok, Asante kwa elimu. Ndo tunafundishana hapaperfume inapuliziwa kwenye ''pulse points" kwa mfano shingoni,wrist,nyuma ya masikio,nyuma ya magoti etc....ni zile sehemu ambazo mishipa ya damu iko karibu na ngozi ambapo joto lake llinafanya perfume kunukia
kupulizia kwenye nguo sio sahihi ingawa wengi tunafanya hivyo.......
Perfume aina ya yu
Ah wapi. Mi mtumiaji mzuri sana wa perfumes na al oud na body mist lkn apo kwenye kujua iki nini na iki nini na vinatumikaje ndo shughuli.
Labda najua perfumes yapuliziwa kwenye nguo, na body mist au body spray ni kwenye bodies.
Body mist unaweza ukapulizia kwenye the whole body mpk vidole vya miguu na inalast the whole day. (origin ones) . Na body spray ni for the armpits and labda shingoni.
Aloud pia ni kwa mwili, na izi hua kama mafuta mazito, hayana spirit, na chupa zake hazina ku spray.
Haya nshaanza, endelea na wewe.
Na kuna perfume nakumbuka inaitwa The Boss ktk perfume best na ghali. Sijui ndo unayotumia wewe?
siifahamu hiyo labda unioneshe
mi natumia polo sport unaijua?
Polo sport safi sana.
Ktk perfumes high quality.