Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Hahahahaaaaa:sly: nimecheka sana eti brand ya rasasi na Smart Collection umesahau
 
Last edited by a moderator:

Mkuu watu wananukia sana na wako vizuri mfukoni..vipi mbona una sound kama unajitetea tatizo nini tena ndugu yangu?
 
Mkuu mimi si mpenzi wa pafyumu kali, Mungu mkubwa kazi yangu si ya kutoa jasho, kwenye gari kipupwe, ofisini kipupwe just deodorant tu na siku nzima niko fresh.
 
deodorant ya nini sasa kama hutoki jasho?? my point is watu wanajipulizia perfume sio kwasababu wanatoka jasho bali ili wanukie vizuri tu kwa hio hata wewe na ac zako kwenye gari/ofisini unaweza kutumia perfume.
 
Okay nimekusoma..ila cologne sio kwa ajili ya wanaotoa jasho wala kukata jasho ni kwa ajili ya kukuweka unukie vizuri muda wote..Unapaka deodorant na pafyum juu yake ila ndio hivyo ni ishu ya interest.
 
deodorant ya nini sasa kama hutoki jasho?? my point is watu wanajipulizia perfume sio kwasababu wanatoka jasho bali ili wanukie vizuri tu kwa hio hata wewe na ac zako kwenye gari/ofisini unaweza kutumia perfume.
Mkuu ni kweli hiyo huwa inanisaidia hasa nyakati za jioni kwenye vikao vya kila siku...
 
Kuna perfume moja kwa wanaume nzuri sana na imetulia inaitwa tusitusini bei yake ni arround tshs 150,000.
 
ukitumia bland za rasasi ndo kikwapa kinachanganya? pafyum pafyum tu.

Brands za bei rahisi lazima kikwapa kichanganye na mbu wa dengue wakufuate tuu chezeya elfu 5,000 vs. $ 200+ hahahaaaa utadeki bahari.
 
kitu cha LOVE INTENTION...Jaribu utanambia.
 
Kumbe wewe mwanamke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…