kaka cliff
Member
- May 18, 2014
- 43
- 7
Global man
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu C.T.U.
Usione wanawake wa kibongo wamevaa wamependeza ukafikiri wanajua hivi vitu,,wengi sana pamoja na urembo wao hawajui marashi yao wala ya kiume...ujawahi kuta binti mrembo kabisa kavaa kapendeza ile mbaya ila ukimsogelea karibu unakuta ananuka majasho??mpaka credit zote unamtoa... hivi vitu vinaitaji uwe na background pia la sivyo utaishia kutumia brand za Rasasi.
Hahahahaaaaa:sly: nimecheka sana eti brand ya rasasi na Smart Collection umesahau
Wakati mnajitahidi kunukia kwapani jitahidini kunukia na mifukoni pia. Wanawake/wadada wa siku hizi hata uwe na harufu ya kwapa kama fundi ujenzi watakuita baby tu, na wewe mwenye uturi utapigwa chini.
Mimi mke wangu alinipenda kama nilivyo hayo mengineyo alinifundisha yeye na bado ananielekeza jinsi ya kuwa mume wa kisasa atakavyo yeye na mimi vile vile...
Mkuu mimi si mpenzi wa pafyumu kali, Mungu mkubwa kazi yangu si ya kutoa jasho, kwenye gari kipupwe, ofisini kipupwe just deodorant tu na siku nzima niko fresh.Mkuu watu wananukia sana na wako vizuri mfukoni..vipi mbona una sound kama unajitetea tatizo nini tena ndugu yangu?
Mkuu mimi si mpenzi wa pafyumu kali, Mungu mkubwa kazi yangu si ya kutoa jasho, kwenye gari kipupwe, ofisini kipupwe just deodorant tu na siku nzima niko fresh.
Mkuu mimi si mpenzi wa pafyumu kali, Mungu mkubwa kazi yangu si ya kutoa jasho, kwenye gari kipupwe, ofisini kipupwe just deodorant tu na siku nzima niko fresh.
Mkuu ni kweli hiyo huwa inanisaidia hasa nyakati za jioni kwenye vikao vya kila siku...deodorant ya nini sasa kama hutoki jasho?? my point is watu wanajipulizia perfume sio kwasababu wanatoka jasho bali ili wanukie vizuri tu kwa hio hata wewe na ac zako kwenye gari/ofisini unaweza kutumia perfume.
Hahahahaaaaa:sly: nimecheka sana eti brand ya rasasi na Smart Collection umesahau
ukitumia bland za rasasi ndo kikwapa kinachanganya? pafyum pafyum tu.
De toilette wanapendelea sana wale masista wa kikatoliki wa vatican.
Inakata haraka sana harufu ya jasho la ngono!
Cc MUNGU SI MZUNGU
Hujisomi aisee!
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani mpaka umkumbatie ndio utajua kuwa anan7kia
Wapo wengine wanaume wapaka body spray hawana nafasi kwao wao wanataka wanaume wenye perfume hata kamani jasmine wao twende tu
Wapo wengine kuna perfume na perfume wao atleast cologne kwa mbaali ndio itaamsha consideration
Kwa upande wako wewe ni aina gani ya perfume inakupa mzuka kut8ka kwa mwanaume?
Beyi wangu anapenda Cool Water by Davidnoff
Me Nivea hoiiiiii
Cha hajabu mimi perfume za kike nimeshajaribu zote including Chanel Mademoiselle ni chafya kwenda mbele...uwa natumia za mume wangu...kwa hiyo mdada akipiga perfume mie nakimbia maana nina allergy na perfume za kike.
Ndio maana nasubili majibu nikafanye shopping kwa ajiri yake (na mimi mwenyewe tunashare )