Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Kuna perfum inaitwa ndele hiyo ni noma hiyo unanuia dem unayemtaka tu ukimsogelea tu hachomoi
 
Hizo original zinapatikana maduka yapi mjini?nataka nijilipue

Parfume bora haitakiwi kukaa kwenyenguo zaidi ya masaa ishirini na nine cauze ukijarudia kuipaka baada ya kifua harufu yake itachanganyika na harufu ya sabuni na ile ya mwanzo kitakachofuatia ni harufu ya ajabu
 
Acqua Di Gio by Giorgio Armani

Creed Aventus

Dior Home Intense

Yves Saint Laurent La Nuit De L'homme

Kaka usihangaike perfume pochi tu kuna mlima korosho Ana sura kama panya na harufu mbaya kichizi kanasa mtoto anafanya kazi voda wa ukweli kichizi sasa sijui ni per tym tu hadi mavuno yatakapoisha or itakuwa kwa msimu mavuno hadi mavuno ila mtoto wa ukweli amempata
 
hahahahahahhaha

Umesikia haya miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Kaka usihangaike perfume pochi tu kuna mlima korosho Ana sura kama panya na harufu mbaya kichizi kanasa mtoto anafanya kazi voda wa ukweli kichizi sasa sijui ni per tym tu hadi mavuno yatakapoisha or itakuwa kwa msimu mavuno hadi mavuno ila mtoto wa ukweli amempata

Copy to RRONDO
 
Last edited by a moderator:
World extention naipenda sana nkiskia mwanaume anainukia napagawa...
 
Swadakta mkuu. Zingine zoote ni mbwembwe tu zile.. Mwanamme pesa bwana, harufu nzuri hata nyuki wanazo

Wewe unawezekana upo rafurafu tu siku zote watu wanahela na wapo smart na mademu wananasa kama kawa.
 
Aa wapi. Kuna maana gani kutumia unyunyu wa kilo unusu af unaishia kupanda daladala.. Simaanishi kutetea uchafu mkuu. Ila twende kwenye current reality of life
 
Mimi nataka spray jamani sina uwezo wa pafyumu, je ni spray gani ambayo ipo romantiki yaani nikipuliza nakuwa so amaaaziiing
 
Back
Top Bottom