Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Aa wapi. Kuna maana gani kutumia unyunyu wa kilo unusu af unaishia kupanda daladala.. Simaanishi kutetea uchafu mkuu. Ila twende kwenye current reality of life

Kwahio wapanda daladala watumie za 5000/- sio?
 
Sio wanawake wote watapenda hayo marashi yenu, Mke wangu alipenda zaidi harufu yangu ya asili.
 
Hiii hata sjaielewa nmenunua 170k but haikai hata 12 hrs, uchumi qty center ndo nlponunulia
 
Creed Aventus
Kouros
Yatch Man Red
Burberry Touch
 
Aa wapi. Kuna maana gani kutumia unyunyu wa kilo unusu af unaishia kupanda daladala.. Simaanishi kutetea uchafu mkuu. Ila twende kwenye current reality of life

Kupande daladala sio umasikini but wengine yaweza kuwa hobby hasa unakuwa karibu na watu zaidi.

Si ajabu hata hao mademu wapenda unyunyu unaweza kuwapata humo ndani ya "chaimaharage"
 

Natural perfume, JASHO.
 
Utatafuta pafyumu hadi uote sugu kaka. Hyo kaz waachie wenyewe wadada. Wewe kaz n moja 2. Mtombe vzuri hadi avurugwe na akili.hyo ndo pafyum wapendayo kina dada wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…