Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Vya kale ni dhahabu ndo ilikuwa mtama kwa watoto enzi hizo.Kuna siku niliingia pale mwenge puma petrol station kwenye kile ka min shop yao nikakuta mafuta ya Yolanda nilicheka hadi wahudumu wakanishangaa, nikanunua kimoja baada ya 2 days naende kumchukulia mtu nikakuta vimeisha
Ndio ile inayouzwa shilingi elfu tano?I like men who smell good.
Wa kwangu namnunulia body spray ya bellagio na perfume ya fabrique.
Wewe umemaliza kazi na huo ndio ukweli! We nenda na perfume zako lakini harufu ya msimbazi hakuna uone kama kuna nyuki atakayebaki anazengea zengea! Kitu ni usafi na msimbazi bana!hakuna perfume zinazopendwaa kama hizi
View attachment 117351
View attachment 117350
View attachment 117352
Wanawake wanaonunulia zawadi za maana wanaume zao mmebaki wachache sana 1 kati ya 1000. Kitchen party ulifanyia wapi na nani mwalimu wako?I like men who smell good.
Wa kwangu namnunulia body spray ya bellagio na perfume ya fabrique.
Perfume za kizungu sijui boss, Beckham, ck hazina mpango wowote, nendeni arabuni perfume zake bab kubwa, ukitaka hizo ulizia maduka ya vipodozi ya wapemba ndo wenyewe wanayo yajua. Yapo ya kike na kiume, pia body spray za kiarabu mashallah.
Body spray kwa ajili ya mwili na perfume kwa ajili ya nguo, kuna watu wanatumia tu bila ya mpangilio.
Kuna lotion nzuri inaitwa Rinju, harufu yake bab kubwa, yaani lazima mtu akundande
Ha ha haaaa! Ni ubahili ama ni nini?Dah haya majina yalotajwa hapa unaweza jing'ata ulimi kwa kulazimisha kuyatamka. Hivi INSTRUCTION (4000) tu haitoshi?
Yani kabisa nihesabu laki + kununua unyunyu? labda kama ninashare na mafishi wa shirika la nyumba 73.
Wewe watumia ipi?Wewe umemaliza kazi na huo ndio ukweli! We nenda na perfume zako lakini harufu ya msimbazi hakuna uone kama kuna nyuki atakayebaki anazengea zengea! Kitu ni usafi na msimbazi bana!
Sijui tz kama zipo, hapa UK zipo na bei £3.50 -£5Hiyo Rinju bei gani?
Chris Adams- Active man! Lakini usafi mbele!Wewe watumia ipi?
Wengine harufu ya pu-mbu tu hoi!
mi ndo kaugonjwa kangu yaani mwanaume akinukia napagawa naweza kumfwata kama chatu na mbwa
we unaonajeAkinuka kikwapa ama kama beberu