shinjikazola
Member
- Sep 19, 2013
- 91
- 22
Yaa
Kiukweli napenda mwanaume anukie! Yaani ht akiwa anakuja najua he s coming, nishasikis ile cologne na si nyingine ni isimiaki/isymiaki.am nt sure na spelling!!!!
Akinisogelea/akinikumbatia baaaaas
Dawa ya mbuNa anti-perspirant deodorant ni nini?
Shanti//...kitu mafuta ya yolanda enzi hizo 1985
AArgh,I buy for my Gozi what I would like him to wear.
Hahahaha. Japo sikuyatumia ila nimesikia wengi wakiyasifia. Nataka duka wanako uza aina flan ya mafuta yanakuwa kwenye mkebe nadhani yanaitwa (YU) KAMA SIKOSEI.
Yeah Issey Miyake, Fahrenheit, Hugo Boss, Lacoste, Copa Cabbana, Escada 4 men etc etc..... Hizi ni kali sana.... Wadada kina Lara1, Madame B, Heaven on Earth, Christine Ibrahim, Faiza Foxy, na wengine watakwambia, Givenchy,....
AArgh,
Wwewe nadhani udi tu na ubani inatosha kwako
Muslim women never decides for their men, they are just there for them....
Bondage
escada hiyo mwanawane naipendaje kuna ya kike lakini miye akaaah! For men mtindo mmoja!!
Naona tuko wengi...mwanamme akitumia perfume ya ukweli namuona smart sana...inamfanya apate attention yangu...Na sidhani kama tuko peke yetu...kuna client mmoja alinitembelea ofisini ofisi mate wangu nikamuona anamkata jicho...nikajua perfume....
Uko juu mrembo!!!!
Ha ha ha wewe watu8 umenichekesha sanaaaUkiwa JF epuka kutumia maneno tatanishi...ona sasa umemuita mrembo mwanaume mwenye tunguli mbili na asumani jicho moja...
zote ni dawa ya kufukuza nzi, mbu na wadudu wengineo warukao maeneo ya chooniumeona sasa...hebu nn tusaidie basi na majibu
binafsi fragrance na perfume na cologne nilikuwa na mix which is which
na matumizi yapi sahihi...
Hebu mwaga knowledge hapa...
Yaani mtu akitaka kuelezea kitu ambacho anahisi aibu utamjua tu lazima abadili lugha