Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Hahahaha. Japo sikuyatumia ila nimesikia wengi wakiyasifia. Nataka duka wanako uza aina flan ya mafuta yanakuwa kwenye mkebe nadhani yanaitwa (YU) KAMA SIKOSEI.

hahaha! Hataree!!
 
Yeah Issey Miyake, Fahrenheit, Hugo Boss, Lacoste, Copa Cabbana, Escada 4 men etc etc..... Hizi ni kali sana.... Wadada kina Lara1, Madame B, Heaven on Earth, Christine Ibrahim, Faiza Foxy, na wengine watakwambia, Givenchy,....

escada hiyo mwanawane naipendaje kuna ya kike lakini miye akaaah! For men mtindo mmoja!!
 
AArgh,

Wwewe nadhani udi tu na ubani inatosha kwako

Muslim women never decides for their men, they are just there for them....

Usilolijuwa ni usiku wa kiza, pata darsa dogo hapa:

‘Wao (wanawake) ni nguo zenu na nyinyi (wanaume) ni nguo zao (Qur'an 2:187).
 
wengine tumechoka hatuna kitu wakiingia hapa na kusoma majina ya mipafyumu yenu ya bei ghali tutapelekeshwa kinoma huko mijengoni kwetu.
Nalog off
 
Unaogopa 20000 tu?Tembea mkuu uone dunia!Nenda Sunpharm Pharmacy Mza uone perfume za zaidi ya laki mbili!Na wengine muishio Dar mwambieni huyu ndugu kwani anachekesha...

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Naona tuko wengi...mwanamme akitumia perfume ya ukweli namuona smart sana...inamfanya apate attention yangu...Na sidhani kama tuko peke yetu...kuna client mmoja alinitembelea ofisini ofisi mate wangu nikamuona anamkata jicho...nikajua perfume....

Tuko wengi.....ni mtu anaonekan Smart na anejijali tu
 
Mi uturi mpaka siwezi kupumua siwezi I LOVE MILDE PERFUMES....
445116.jpgAllure Cologne by Chanel for Men.jpg
 
umeona sasa...hebu nn tusaidie basi na majibu
binafsi fragrance na perfume na cologne nilikuwa na mix which is which
na matumizi yapi sahihi...

Hebu mwaga knowledge hapa...
zote ni dawa ya kufukuza nzi, mbu na wadudu wengineo warukao maeneo ya chooni
 
Back
Top Bottom