Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

Usinikumbushe mbali 1986 wakati perfume za unisex zinaingia pamoja na vyupi vya VIP.

Umenikumbusha kulikuwa na mechi ya kirafiki waalimu na wananchuo wakati huo chuo cha Tanesco-kidatu, teacher mmoja jina kapuni katika harakati za kusaka ushindi akawa anakimbiza ball kutingisha nyavu ile kupachika tu goli kushangilia akavua jezi ya juu akishangilia goli, duh kumbe kyupi aina ya VIP imevuka hadi kifua inakimbilia shingoni na vile inang'aa duh!
 
Kwanini unataka iwavutie wanawake tu.... Anyway jaribu Issey Miyake na Hugo Boss, ni perfume nzuri sana za kiume japo sijui kama sinawavutia wanawake...

Mimi nimezitumia hizo perfume kwa miaka kama mitano na uzuri wake hata kama umevaa rafu rafu zinakufanya unaonekana nadhifu na unapata heshima stahiki.[/SIZE][/FONT]
 
wanaweza kuvutika na harufu wakakufikia na bado ukashindwa kuwaeleza shida yako.
 
Back
Top Bottom