Perfume inaweza kumfanya mtu apate hisia za kimapenzi na kumpenda mtu?

Ni tsh ngapi na inapatikana maduka gani mkuu!!

Hiapa SHALIMAR ni 180000/ tu TSH, trust me inaweza kumtoa nyoka pango lolote lile, nazani umenielewa??
 

Attachments

  • best-reliable-shalimar-perfume-review.jpg
    28 KB · Views: 728
Nimekuwa nikisikia pefume inaweza kumvuta mtu kukupenda! je kuna ukweli na ni perfume gani? mwenye ushuhuda atujuze!
Drakkar Noir for men inavuta wanawake hata kama huna hela au hujui kutongoza.
 
Ndio nzuri......unyunyu wake umetulia..........

Mmmh sidhani umenikumbusha nikiwa nasoma nilikuwa natumia seduction nilikuwa naipendaje inanukia utamu acha kabisa
 
Ukimpenda mtu kwa kufata marashi ujue umekuwa initiated. Na hutatoka mpaka muujiza.
 
kwani kuwa teamrafiki ndio umesamehewa dhambi zako zote?

kwani ninyi teamR hamtendi dhambi?

sisi sio malaika tunatenda bila kukusudia sometime na tunapogundua haraka tunatubu
 
sisi sio malaika tunatenda bila kukusudia sometime na tunapogundua haraka tunatubu

basi nikwambie ukweli, viongozi wenu ni madikteta.. they act before thinking..

na wakigundua wamekosea, hawako radhi kuomba msamaha..

na mwenye dhambi akiomba fursa kuingia, wanakuwa wanyooshaji vidole wa kwanza badala ya kumrudisha kundini! LOL!
 

basi usijali Excel hilo litapatiwa ufumbuzi mi nataka uwe miongoni mwetu
 
Last edited by a moderator:
basi usijali Excel hilo litapatiwa ufumbuzi mi nataka uwe miongoni mwetu

we ngoja, utapigwa sasa hivi kwa kutaka ufumbuzi! mi mwenyewe nimehoji kidogo tu mpaka sasa napewa kadi nyekundu!

kaka yako simpendi unajua!! yako yuko kimbelembele kama nn sijui! khaa!!
 
Mmmh sidhani umenikumbusha nikiwa nasoma nilikuwa natumia seduction nilikuwa naipendaje inanukia utamu acha kabisa

Hiyo lazima ilikuwa eau de Rasasi.......dah.....hizo perfume zilitutoa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…