yaani............. perfume tu?Nimekuwa nikisikia pefume inaweza kumvuta mtu kukupenda! je kuna ukweli na ni perfume gani? mwenye ushuhuda atujuze!
Casablanka
Kunibamba mimi mpaka utumie Simla.........
Kunukia vizuri iko hata scientifically proven kuwa inaongeza attraction. Someni phermones. Ila inabisi iwe ORIGINAL sio hizi smart collection!
Natumia kitu paco robanne na YSL hehehe hadi nawaoneaga huruma watoto wakike.
ndo unayoitumia ninii?
Hahahahah hamna situmiagi hiyo mpenzi!
Nimekuwa nikisikia pefume inaweza kumvuta mtu kukupenda! je kuna ukweli na ni perfume gani? mwenye ushuhuda atujuze!
Nimekuwa nikisikia pefume inaweza kumvuta mtu kukupenda! je kuna ukweli na ni perfume gani? mwenye ushuhuda atujuze!