PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Dah! Kama mie nimedownload pes 2017 kwenye ocean of games cha ajab setup.exe sioni naona mafaili ya ajabu ajabu tyu msaada please na nilizima antivirus before install it
 
Dah! Kama mie nimedownload pes 2017 kwenye ocean of games cha ajab setup.exe sioni naona mafaili ya ajabu ajabu tyu msaada please na nilizima antivirus before install it halafu GB 10.8 na ipo ipo hivyo hivyo
 
Dah! Kama mie nimedownload pes 2017 kwenye ocean of games cha ajab setup.exe sioni naona mafaili ya ajabu ajabu tyu msaada please na nilizima antivirus before install it
Double click hapo nilipozungushia duara, then setup itarun automatical
 
Nimefanya hivyo still nothing happen inaniambia ni mount main iso by using ultra iso!!!
nenda kwenye zip file hilo uliodownload then right click the choose extract here. Halafu ndo ufanye hayo uliyoelekezwa.

Mana naona hujaextract bali unafungulia ndani ya winrar
 
Nimefanya hivyo still nothing happen inaniambia ni mount main iso by using ultra iso!!!
Download daemon tool lite ni ya bure ina mount iso. Kama unatumia windows 10 just right click kisha chagua mount.

Ukisha mount game litatokea kwenye my computer ama this pc na utainstall kama cd kwa kuchagua autorun ama ku right click kisha chagua open folder na ku click setup.
 
Huyu hajaextract file yani analifungulia file ndani ya winrar ndio shida nadhani.
 
Inawezekana ipo ndani ya rar au ikawa ni iso, kwenye ocean of games baadhi ya games zinakuwa ni iso zinataka ku mount.
Ni rar mkuu alinitumia picha inbox. Na kashafanikiwa.
 
Ni vyema ukasema kwa njia ipi ili wengine wasiulize maswali ama kuanzisha thread.
Teh teh itakuwa yupo analicheza saa hizi kashasahau kuhusu JF.
 
Ni vyema ukasema kwa njia ipi ili wengine wasiulize maswali ama kuanzisha thread.
Baada ya Ku extract file nikabonyeza setup kilichoandikwa setup VB encoding then ikafunguka file jengine ndani yake ndio kuna hizo setup mkuu!!!!
 
Chief unapatikana sehem gani nije n.a. PC yangu unisaidie ku installs hizi mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…