Raha ya pc uwe na controller mkuu, mimi nina generic usb controller na kamwe hunirudishi tena kwenye playstation.Me napenda games..na nilianzia kucheza PC games lkn nilivyoonja utamu wa FIFA 17 Kwny PLAYSTATION 4 na baadae FIFA 18 dah ni balaa..yan hamu ya kucheza games za mpira kwny PC iliisha kabisa..
Ndo hiyo niliyonayo (PTE PATCH)mkuu chukua patch ya 2018-2019. Imetoka mwezi wa saba ndio balaa.
Naona mara patch sielewi ni vitu ganidownload mkuu link zipo humu humu.
Heshima kwako mkuu!!Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.
Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.
Shukranidownload hapa ovagames.com or oceanofgames.com
Patch utazipata hapa micano4u. Pesedit or pte patch.
wee madmax kumbe ina gb kidogo hivoo?View attachment 827691Game za Kibabe izo
yeah fitgirl repackwee madmax kumbe ina gb kidogo hivoo?
Siku hizi fifa ni nyepesi kuliko pes.aaah now days naona nao wanazingua kuanzia walivyotoa pes2018. Wanawaiga fifa viwango vinakuwa vikubwa mno kiasi wenye mashine za kawaida tunakwama.
Hizi ni za PC au PsView attachment 827691Game za Kibabe izo
Nipo mbali na pc yangu sikumbuki exactly nilivyoseti ila cheki kwenye folder la game ama kwenye documents kisha Ea kisha folder la fifa kuna text file la configuration badili toka 1280x720 iende 800x480 itapungia quality na game litakuwa smooth,Lenovo core i5 200u@2.2oghz 64 bit operating system
Mkuu ya 1&4 nitakupataje nije na xtenoView attachment 827691Game za Kibabe izo
View attachment 827691Game za Kibabe izo