Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Graphics card haiangalii GB, japo GB zina umuhimu wake.Hivi graphic ambayo ni best inauzwa bei gani na ina GB ngapi???
Graphics card haiangalii GB, japo GB zina umuhimu wake.
Na nzuri ni rtx 3090 na bei yake ni Zaidi ya Dola 3000, hivyo around milioni 8 hivi.
Kabla ya kufanya decision unatakiwa ujijue kwanza una desktop gani, si kila Gpu inakaa desktop yoyote.Kaka nataka nifungue ofisi nzuri ya Games hivyo nitahitaji graphics card nzuri unashauri nichukue ipi na ni bei gani
Kabla ya kufanya decision unatakiwa ujijue kwanza una desktop gani, si kila Gpu inakaa desktop yoyote.
Na bei za gpu sasa hivi hazinunuliki unless Unapata used. Gpu nzuri zinaanzia karibia milioni.
Kabla ya kufanya decision unatakiwa ujijue kwanza una desktop gani, si kila Gpu inakaa desktop yoyote.
Na bei za gpu sasa hivi hazinunuliki unless Unapata used. Gpu nzuri zinaanzia karibia milioni.
Nipe model ya machine, ama kama unaweza specs za motherboard na psu.CPU
Prosecor core i5 @3.3Ghz
Ram GB 8
Disk 500GB
Kwan used nzur bei gani mkuu
Nipe model ya machine, ama kama unaweza specs za motherboard na psu.
Utacheza mkuu nafikiri shusha.Wakuu naitaji kudownload marvel avengers ila na wasi wasi kwenye pc yangu kama itakataa
Specification zangu ni
Core i5 4570.
Graphics amd rx 550 gddr5 2gb
Ram 8
Hdd tb1
Naona hii game ipo demanding sana View attachment 1895238
Hili game linazingua sana, lipo scripted mpaka unatamani kutukana.Fifa 19 nalo tamu sana
Unacho ongea kipo sahihi kabisa mkuuHili game linazingua sana, lipo scripted mpaka unatamani kutukana.
Yaani likikuamulia match hushindi basi hushindi. Wachezaji wako utaona wanaishiwa nguvu ila wa adui hawaishiwi nguvu na kama wamepigwa booster. Ukiona wanacheza one touch nyingi ujue hapo tayari script inafanya kazi urudishiwe goli ama ufungwe.
Yes sometimes dk za mwisho unakuta wachezaj wa CPU wanakuw na Nguv hata kam unachez na tim ndogo wanakukalishaHili game linazingua sana, lipo scripted mpaka unatamani kutukana.