PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Hivi graphic ambayo ni best inauzwa bei gani na ina GB ngapi???
Graphics card haiangalii GB, japo GB zina umuhimu wake.

Na nzuri ni rtx 3090 na bei yake ni Zaidi ya Dola 3000, hivyo around milioni 8 hivi.
 
Nahitaji specifications za pc icheze fifa bila kustuck
 
Kaka nataka nifungue ofisi nzuri ya Games hivyo nitahitaji graphics card nzuri unashauri nichukue ipi na ni bei gani
Graphics card haiangalii GB, japo GB zina umuhimu wake.

Na nzuri ni rtx 3090 na bei yake ni Zaidi ya Dola 3000, hivyo around milioni 8 hivi.
 
Kaka nataka nifungue ofisi nzuri ya Games hivyo nitahitaji graphics card nzuri unashauri nichukue ipi na ni bei gani
Kabla ya kufanya decision unatakiwa ujijue kwanza una desktop gani, si kila Gpu inakaa desktop yoyote.

Na bei za gpu sasa hivi hazinunuliki unless Unapata used. Gpu nzuri zinaanzia karibia milioni.
 
CPU

Prosecor core i5 @3.3Ghz

Ram GB 8

Disk 500GB

Kwan used nzur bei gani mkuu
Kabla ya kufanya decision unatakiwa ujijue kwanza una desktop gani, si kila Gpu inakaa desktop yoyote.

Na bei za gpu sasa hivi hazinunuliki unless Unapata used. Gpu nzuri zinaanzia karibia milioni.
 
Kwa hizo sifa GPU gani inakaa ambayo ni nzuri na ina bei poa

Iwe used
Kabla ya kufanya decision unatakiwa ujijue kwanza una desktop gani, si kila Gpu inakaa desktop yoyote.

Na bei za gpu sasa hivi hazinunuliki unless Unapata used. Gpu nzuri zinaanzia karibia milioni.
 
Wakuu naitaji kudownload marvel avengers ila na wasi wasi kwenye pc yangu kama itakataa

Specification zangu ni

Core i5 4570.
Graphics amd rx 550 gddr5 2gb
Ram 8
Hdd tb1

Naona hii game ipo demanding sana
3575769.jpg
 
Fifa 19 nalo tamu sana
Hili game linazingua sana, lipo scripted mpaka unatamani kutukana.

Yaani likikuamulia match hushindi basi hushindi. Wachezaji wako utaona wanaishiwa nguvu ila wa adui hawaishiwi nguvu na kama wamepigwa booster. Ukiona wanacheza one touch nyingi ujue hapo tayari script inafanya kazi urudishiwe goli ama ufungwe.
 
Unacho ongea kipo sahihi kabisa mkuu
 
Hili game linazingua sana, lipo scripted mpaka unatamani kutukana.

Yaani likikuamulia match hushindi basi hushindi. Wachezaji wako utaona wanaishiwa nguvu ila wa adui hawaishiwi nguvu na kama wamepigwa booster. Ukiona wanacheza one touch nyingi ujue hapo tayari script inafanya kazi urudishiwe goli ama ufungwe.
Yes sometimes dk za mwisho unakuta wachezaj wa CPU wanakuw na Nguv hata kam unachez na tim ndogo wanakukalisha
 
Back
Top Bottom