PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Patch nu update. Yani mfano kila msimu mpya kunaongezwa wachezaji wapya. Jezi mpya za msimu. Transifer & etc. Muonekano mpya vitu kama score board na start screen.
Oi nisaidie jinsi ya ku apply patch unafanyaj
 
Patch unainistall tu. Direct kwenye game folder kisha unacopy file liitwalo edit kulipeleka kwenye document > Konami>pes2017 >save.


Kwa msaada zaidi cheki video hapo juu. Post no 435.

Hiyo ni kwa smokepatch 17.
Oi nisaidie jinsi ya ku apply patch unafanyaj
 
Mkuu naomba maelekezo namna ya ku-update drivers za pc
nenda device manger then chagua kila moja then option harafu driver kisha chagua update driver. harafu search automatic online.
AU

download driver pack online
download kisha inistall harafui scan kisha download na kuinistall uzitakazo.

nb: kwangu naonaga njia ya kwanza ndio rahisi
 
Mwezi wa 10-11

[emoji116][emoji116]
FB_IMG_1559838722733.jpeg
 
Pro Evolution Soccer has always trailed the FIFA franchise this decade, and they lost further ground last year, with FIFA 19 snatching the UEFA Champions League and Europa League licenses off Konami. PES 2020 marks a fresh start however, and with EA Sports struggling throughout the year with FIFA 19, it is a massive opportunity for Pro Evo to claw back some ground on their biggest rival.
FB_IMG_1560020738643.jpeg
 
Nimedownload fifa 17 kapc kangu kamegoma kabisaa kanaonesha giza tu . Gb zangu 34 zimekatika bure daah
 
Huenda pc uwezo mdogo
Au hujalicrack
Au hujainistall zile direct x na vc++

Kwa msaada zaidi lete hapa uwezo wa pc yako tuone.

Kabla ya kudownload software soma system requirements zake.


Fifa 17 pc iwe na uwezo ufuatao au zaidi

Core i3/i5/i7 gen kuanzia no 2+

Ram gb 8


Pc ikiweza kurun fifa 17 inaweza kurun pia fifa 18 na 19 fresh kabisa

Vr 2gb gtx 460 or Amd(nimesahau lkn kitu kama amd radion 270)
Nimedownload fifa 17 kapc kangu kamegoma kabisaa kanaonesha giza tu . Gb zangu 34 zimekatika bure daah
 
PES 2020 is coming September 10th 2019


 
Msaada: laptop yangu ina specifications hizi; RAM 4GB, HDD 500GB, core i5 third generation... Naomba kufaham kama naweza kucheza pes 2018 vizur bila kustack?
 
Back
Top Bottom