PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Itakuwa file limecorrupt wakati unadownload. Antivirus ulizima wakati wa kudownload?

Zima windows defender na antivirus nyingine zote wakati unadownload, unaextract na kuinistall.
napata error hii
 
Wakuu nacheza PES 2017 kwenye Pc ina run vizuri tu...Shida yangu nikicheza Master league ina crush baada ya msimu mmoja mwenye kujua namna ya kutatua hio problem atiririke
 
Wakuu nacheza PES 2017 kwenye Pc ina run vizuri tu...Shida yangu nikicheza Master league ina crush baada ya msimu mmoja mwenye kujua namna ya kutatua hio problem atiririke
Kama umeweka patch iondoe tafuta patch nyingine. Au nenda kwenye site ulikodownload hiyo patch huenda kuna fix.
 
mkuu troublemaker nimetoka kuchukua PC sasa ina qualification hizi naweza kuweka PES 2019??
IMG-20191030-WA0001.jpeg
 
Hayo hayo.

Umenunua shingapi?

Nenda kwenye search pale kwenye windows kisha type "dxdiag" then open (run) maelezo ya kwenye desplay kisha yaweke hapa.
daaah!! umenichanganya mzee baba au ndo maswala ya graphics processor ?
 
Ina Intel hd 4000.

Hamna kitu hapo mkuu.
Karibu pes -2017 na fifa -14
 
Nawez ku connect pad ya ps3 kwenye pc ikawa wireless kama inavocheza kwenye ps3
 
Back
Top Bottom