Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nishashusha lakini nikiinstall inakataa
Kama umeweka patch iondoe tafuta patch nyingine. Au nenda kwenye site ulikodownload hiyo patch huenda kuna fix.Wakuu nacheza PES 2017 kwenye Pc ina run vizuri tu...Shida yangu nikicheza Master league ina crush baada ya msimu mmoja mwenye kujua namna ya kutatua hio problem atiririke
Sawa mkuu,ngoja nijaribuKama umeweka patch iondoe tafuta patch nyingine. Au nenda kwenye site ulikodownload hiyo patch huenda kuna fix.
Ina gpu ipi.mkuu troublemaker nimetoka kuchukua PC sasa ina qualification hizi naweza kuweka PES 2019??View attachment 1248882
Ina gpu ipi.
Hiyo ndiyo muhimu zaidi kwenye game.
Ina gpu ipi.
Hiyo ndiyo muhimu zaidi kwenye game.
Hayo hayo.
Umenunua shingapi?
Nenda kwenye search pale kwenye windows kisha type "dxdiag" then open (run) maelezo ya kwenye desplay kisha yaweke hapa.
Ina Intel hd 4000.
Hamna kitu hapo mkuu.
Karibu pes -2017 na fifa -14