Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina dedicated gpu? kama haina hapo ni mwendo wa fifa14 na pes2017 tuWakuu msaada kwa mashine hii naweza weka mzigo version ipi kati ya fifa au PESView attachment 2388869
Mkuu mambo vipi RReigns , naomba link ya latest updated squad ya fifa19...ina dedicated gpu? kama haina hapo ni mwendo wa fifa14 na pes2017 tu
Unajua changamoto inakuja nashindwa kujua kwa kupata hizi patch coz now sichezi pes2017 wala Fifa19Mkuu mambo vipi RReigns , naomba link ya latest updated squad ya fifa19...
Kuna moja nimedownload ni nzuri (ila wachezaji wengi sana wameweka sura sio zao tena nyingi ni za kike[emoji1787][emoji39])
Una ps ngap mkuu 4 au 3Naona watu bado wanakomaa na patch, mimi manyanyaso yalivyozidi ikabidi ninunue PS tuu
Xbox one series S ni console kali na bei nafuu, mpya sometime unaipatq hadi $199 issue nyingi haziletwi kwetu.Naona watu bado wanakomaa na patch, mimi manyanyaso yalivyozidi ikabidi ninunue PS tuu
Uhakika ni pes 13 na fifa 14.Wakuu niaje mashine yangu
HP Revolve G2
Processor corei5 4th Gen
Ram 8GB
Intel hd graphics 4400
Hapo naweza cheza fifa ya mwaka gani na pes ya mwaka gani bila shida
Poa poa ChiefUhakika ni pes 13 na fifa 14.
Mara ya mwisho nilicheza fifa/pes 19 kwenye gen ya 4, ila inabidi utweak sana kupata perfomance nzuri.
Una ps ngap mkuu 4 au 3
Chief nina pad ya ps4 inafanya poa ila tatizo lake moj tu. Ni kujizima. Hasa nikiwa nacheza fifa.Xbox one series S ni console kali na bei nafuu, mpya sometime unaipatq hadi $199 issue nyingi haziletwi kwetu.
Ukiwa na Gamepass huna haja kununua games
Kwenye maelezo kidogo mimi bado sijakuelewa ninaweza kutoa maoni nitaweza kukupga changa kidogo unipe maelezo kidogo nitajitaidi nikupe wazo lakufanyaChief nina pad ya ps4 inafanya poa ila tatizo lake moj tu. Ni kujizima. Hasa nikiwa nacheza fifa.
Shida yaweza kuwa ni nini mkuu? Naitumia kwenye pc.View attachment 2665691
Ni hivi. Nikiwa nimeconnect(wireless) muda naitumia. Inatokea ghafla inastack then inajizima yenyewe.Kwenye maelezo kidogo mimi bado sijakuelewa ninaweza kutoa maoni nitaweza kukupga changa kidogo unipe maelezo kidogo nitajitaidi nikupe wazo lakufanya
Kwa haraka alaka badili software uliofanyia install au update iyo softwareNi hivi. Nikiwa nimeconnect(wireless) muda naitumia. Inatokea ghafla inastack then inajizima yenyewe.
Ilitulia mkuu. Nilisoma google nikaambie kama kuna Bluetooth nyingine ambayo iko on niizime huwa inaivuruga pad kama bt speaker etc. So nikafanya hvyo ikawa sawa.Kwa haraka alaka badili software uliofanyia install au update iyo software