PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Njia nyengine kama alikupa setup Re install
Mbaya zaidi nilichukua file. Setup zingine zinachukua masaa mengi. Maana nakumbuka niliinistall mortal kombat 11 kwa zaidi ya masaa 16.
 
Kama ni repack kama zile za kina fitgirl zinataka 16GB ram, ikiwa chini ya hapo wanalimit kwa 2GB, ukiwa una extract check task manager kitu gani kina bottleneck.
Ni kweli. Nilishauriwa nilimit kwa 2gb ili isije kucorupt.

But ni kweli fitgirl wanataka 16 ila now nina 16.

Fifa 23 nilitumia dkk kama kumi tu kuinistall Ikawa tayari.
 
Mwanzoni Pc yangu ilikuwa ina Run Game vizuri, ghafla ikapoteza ubora ikawa hata ukiweka resolution kubwa ina Lag hapa tatizo linaweza kuwa ni nini? Driver ziko update ni Hp Pro one 400
 
Wadau Msaada Namna ya Kulipata Kwa walio download ….Niko Dar natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Mwanzoni Pc yangu ilikuwa ina Run Game vizuri, ghafla ikapoteza ubora ikawa hata ukiweka resolution kubwa ina Lag hapa tatizo linaweza kuwa ni nini? Driver ziko update ni Hp Pro one 400
Njia rahisi ya kujua Tatizo wakati pc inalag immediately fungua task manager angalia cpu, ram, storage na Gpu kipi kimejaa 100% hapo ndio unaanzia kutafuta tatizo.
 
Wadau Msaada Namna ya Kulipata Kwa walio download ….Niko Dar natanguliza shukrani zangu za dhati
Njia rahisi kuna jamaa wanauza 10000 tu.

Kuna jamaa yuko pale mawasiliano stedi geti la kutokea. Ulizia bruno games. Me nilichukua hapo.

But kama uko Ukonga au maeneo ya karibu na huku unaweza kuja weekend hasa jumapili nitakupatia free.
 
Mkuu ishu si kudownload ni bundle. Kudownload file la gb 50+ si mchezo itakugharimu bei gani.hata kama una wi-fi bado muda ni tatizo.
Labda kama unatumia wifi yenye slow kaka mie natumia supa kasi ya voda nashusha hadi gemu la gb 70
 
Back
Top Bottom