PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Labda kama unatumia wifi yenye slow kaka mie natumia supa kasi ya voda nashusha hadi gemu la gb 70
Heko kwako ila ni wachache wanoweza mudu hilo. Wi-fi hizi za bure utadownload mwezi mzima.😂

Ila kama ni wi-fi binafsi sawa. Ila wi-fi ni gharama pia malipo, ndio maana mtu kuifunga tu home kama si kibiashara inakuwa ngumu

Me kununua kwa wanouza ni nafuu bado naona. Maana nyinginezo ni 5000 tu fifa unakuta ndio 10,000.
 
Njia rahisi ya kujua Tatizo wakati pc inalag immediately fungua task manager angalia cpu, ram, storage na Gpu kipi kimejaa 100% hapo ndio unaanzia kutafuta tatizo.
Mfano nikikuta kimojawapo kimwjaa natakiwa kufanya nini Chief? Nafuta zirudi 0 au ipi ni sahihi?
 
Mfano nikikuta kimojawapo kimwjaa natakiwa kufanya nini Chief? Nafuta zirudi 0 au ipi ni sahihi?
Mfano kama ram imejaa ina maana ukiongeza ram itaweza saidia, kama gpu imejaa ina maana ukipunguza Quality itasaidia etc.

Kifupi kimoja kikiwa kimejaa unajua tatizo lilipo utakua tu unatafuta solution kutokana na tatizo.
 
Ngoja nimalizie kudowload FIFA 23 na Forza horizon 5 ili nkikaange kiswaswadu changu.
CPU: Dell Precision 7920
Processor: Intel Xeon silver 4110
32GB DDR4 ECC ram
Graphics card: Nvidia Quadro P2000 5GB GDDR5
Monitor: Lenovo 24 Frameless
Game controller: Dual shock 3 controller
OS: windows 11
 
Kuna link hii ya channel ya telegram huko mzee unamaliza kila ktu
Kuna patch za Fifa14 pamoja na unyama wotee
[emoji116]

Link nyngne hii direct ya mediafire
Patch ina kam 10GB +
Ishii nayooo humu kuna hadi timunza wanawakeee

 
Wakuu hv specification za hio PC yangu nawez chez Fifa ,pes ,n GTA IPI latest ? Nzur
 

Attachments

  • IMG_20231222_135957_623.jpg
    IMG_20231222_135957_623.jpg
    350 KB · Views: 23
Back
Top Bottom