Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
UKIWA nyumbani, ila kama hio wifi umeifata sehemu utakesha.Labda kama unatumia wifi yenye slow kaka mie natumia supa kasi ya voda nashusha hadi gemu la gb 70
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKIWA nyumbani, ila kama hio wifi umeifata sehemu utakesha.Labda kama unatumia wifi yenye slow kaka mie natumia supa kasi ya voda nashusha hadi gemu la gb 70
Heko kwako ila ni wachache wanoweza mudu hilo. Wi-fi hizi za bure utadownload mwezi mzima.😂Labda kama unatumia wifi yenye slow kaka mie natumia supa kasi ya voda nashusha hadi gemu la gb 70
Kabisa kaka sema mengi yana viruses sio salama saanaHeko kwako ila ni wachache wanoweza mudu hilo.
Me kununua kwa wanouza ni nafuu bado naona. Maana nyinginezo ni 5000 tu fifa unakuta ndio 10,000.
Hii haina ladha aisee,Mjaribuni kucheza ata football manager hahah
Nakbl bingwaHii haina ladha aisee,
acha tuendelee kupasua pad kwenye kukaba 😂
Mfano nikikuta kimojawapo kimwjaa natakiwa kufanya nini Chief? Nafuta zirudi 0 au ipi ni sahihi?Njia rahisi ya kujua Tatizo wakati pc inalag immediately fungua task manager angalia cpu, ram, storage na Gpu kipi kimejaa 100% hapo ndio unaanzia kutafuta tatizo.
Mfano kama ram imejaa ina maana ukiongeza ram itaweza saidia, kama gpu imejaa ina maana ukipunguza Quality itasaidia etc.Mfano nikikuta kimojawapo kimwjaa natakiwa kufanya nini Chief? Nafuta zirudi 0 au ipi ni sahihi?
Kuna link hii ya channel ya telegram huko mzee unamaliza kila ktuWadau nina Fifa 14 nani mwenye link patch yake ya 2023?
Link nyngne hii direct ya mediafireKuna link hii ya channel ya telegram huko mzee unamaliza kila ktu
Kuna patch za Fifa14 pamoja na unyama wotee
[emoji116]
![]()
Wakuu hv specification za hio PC yangu nawez chez Fifa ,pes ,n GTA