Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #21
Nimetoka kulizungumza hapo juu, wanawake ni changamoto pia Kwa hawa vijana, alafu wana kaushamba Fulani, demu Mmoja analiwa na wote eti wanatambiana pesa, kumhongaMimi natokea Kahama, kuna mzee anaitwa Ndegesera asset zake zina Zaidi ya Bilioni 400 TZS
Katoro, Kahama, Msasa kuna madogo yanamiliki LX 300 za kisasa.
Mtu kupata Bilioni 6 za dhahabu ni kugusa tu. Kinachowaharibia ni Wanawake.
Mshamba Dola efu 12 unatukana watu huyu angeishi walau kahama ya miaka hiyoo sijui angesemaje?Mzee wa Singapore mnamuonea😁😁
Kuna mzee Tajiri wa Kahama mzee Ndegesera, kuna yule mzee mmiliki wa Rocken Hills, Anderleck Ridges, ana malunch yake ya Ngombe huko kufulu.Kanda ziwa kuna watu wanapesa na leo watu wameshtuka ila walishindwa kuwa na media za dotto magari.Maana wange mkaribisha dotto leo wange mfilamba kwa moto
Mkuu Mimi sija ona kipya hapo, ndo maisha Yao tangu miaka hiyo mfano kipindi Hummer zinatoka Kuna don pale geita aliivuta mpya, miaka hiyo hata huyu kijana nahisi hajatajirikaKanda ziwa kuna watu wanapesa na leo watu wameshtuka ila walishindwa kuwa na media za dotto magari.Maana wange mkaribisha dotto leo wange mfilamba kwa moto
Hayo ni makapa au wewe hupo dunia ganiKuna mzee Tajiri wa Kahama mzee Ndegesera, kuna yule mzee mmiliki wa Rocken Hills, Anderleck Ridges, ana malunch yake ya Ngombe huko kufulu.
Kuna mzee ana zaidi ya ng'ombe ya zaidi ya elfu ishirini elfu.
Kanda ya ziwa kuna pesa.Bata wanazofanya dar mpaka makahaba kama Lucas Mwashambwa Tlaatlaah tlaah ChoiceVariable wameamua kukaa kizimkazi kulainisha vinyeo kwa utamu wa jodari na tasiMkuu Mimi sija ona kipya hapo, ndo maisha Yao tangu miaka hiyo mfano kipindi Hummer zinatoka Kuna don pale geita aliivuta mpya, miaka hiyo hata huyu kijana nahisi hajatajirika
Hana baya tajeer venchwaMshamba Dola efu 12 unatukana watu huyu angeishi wahalau kahama ya miaka hiyoo sijui angesemaje?
Nimefanyaje TenaMzee wa Singapore mnamuonea😁😁
Hakuna majambazi hicho Kijiji?Kinacho nichanganya ni kuwa, katika matajiri nao wafafahamu pale geita ukijumlisha na kahama huyo jamaa ni mpya usoni sikua namfaham matajiri nao wajua wa madini ni wengine kabisa
Eti una kelele.Nimefanyaje Tena
Wangeweza kuja kuona watu wanaishi maisha pisi zote zipo hapaWatu wa dar mna ka wivu fulani hivi, bata wanazokula watu kanda ya ziwa zinawauma sana 😏😏😏, dar mtu kwenda na laki mbili bar mpaka bendi inamtaja wakati huo huo mwembeni bar kakola mtu kuteketeza 600k kwenye mtungi ni kawaida na siyo mmoja na mara moja
Madini yana hela bana...Wangeweza kuja kuona watu wanaishi maisha pisi zote zipo hapa
Umemuona ana piga kelele Leo? Ye mwenyewe kaogopa watu wanapesa, ila hawana kelele, sasa Kuna dogo alichukua timu aidhamini hapo geita, ile timu ikawa haifanyi vizuri akaachana nayo, kumuuliza mbona unaiacha hii timu akadai anamambo yake kumuuliza kwani imetumia shingapi, akajibu milioni mia nne tu, sasa ukimuona huyo dogo anae dai milioni mia nne, mzeer ACHA TU, haendani na hiyo pesaHana baya tajeer venchwa