Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #41
Pale kahama Kuna watu wanawatunza hawa watu wa band mpaka Huwa wanasahau kuondoka unakuta wapo mwezi mzimaWatu wa dar mna ka wivu fulani hivi, bata wanazokula watu kanda ya ziwa zinawauma sana 😏😏😏, dar mtu kwenda na laki mbili bar mpaka bendi inamtaja wakati huo huo mwembeni bar kakola mtu kuteketeza 600k kwenye mtungi ni kawaida na siyo mmoja na mara moja
Kama umezaliwa kwenye mihogo na samaki usilazimishembwembwe tu zile
Kaka misemo ya kimaskini hiiMkumbusheni kua senegal aliongoza mbili bila adi dk85 ila akatolewa dk za lala salama kwa bao 3
Lazier alivo piga bilioni nne sijui nakutangazwa juu Kuna matajiri pale kahama na geita walikua wanacheka sana, unajua kwaninimbwembwe tu zile
Masikini mchangamfuNimefanyaje Tena
DaaahHabari za matajiri waulize maskini
Mkuu ukisha ona mtu yeyote Kanda ya ziwa ni mfanya biashara wa DHAHABU, nenda vizuri wana chale Hadi makalioni, alafu ni mamafia ACHA TU hio biashara haifanywi na wazembe ni mamastar tu, ukijichanganya unatangulizwa mapema na watu wanaendelea na shughuli zao kama hakuja tokea jamboHakuna majambazi hicho Kijiji?
Maana home kwake hakuna hata fensi
Mashimo yakitema lazima hela uione, lakini hawa watu kwenye uwekezaji wenye tija huwa ni sifuri, wengi wanatawanya, ili kesho warudi tena shimoni.Lazier alivo piga bilioni nne sijui nakutangazwa juu Kuna matajiri pale kahama na geita walikua wanacheka sana, unajua kwanini
Kama huna ni huna tu.Its like this,
Kila mtu yoyote ana haki ya kufanya kile akipendacho kutokana na uwezo wa kuwa nao
Ila nimekuja kujifunza, kuwa pesa inatabia ya ku-expose ulimbukeni wa mtu.
Pesa hainunui class wala proper mindset, pesa kwa muafrika ina expose his or her extreme intentions sasa ndio mambo kama haya.
Nje ya pale hawana cha maana, ata kiwanda kidogo cha kuyeyusha nondo hawana.Kama umezaliwa kwenye mihogo na samaki usilazimishe
Machimboni kuna ukaksi wa hali ya juu, siyo kota hadi manyani wanaozamia usije ukajaaMkuu ukisha ona mtu yeyote Kanda ya ziwa ni mfanya biashara wa DHAHABU, nenda vizuri wana chale Hadi makalioni, alafu ni mamafia ACHA TU hio biashara haifanywi na wazembe ni mamastar tu, ukijichanganya unatangulizwa mapema na watu wanaendelea na shughuli zao kama hakuja tokea jambo
Kuna Mzee alikua na sonara mitaa ya MSIKITI wa IJUMAA pale geita, mi nilikua na ofisi pale chini kidogo, kaka mabegi ya pesa yalivo kuwa yanaingizwa mle sio poa watu wana pesa haloo, awamu ya tano ikafunga ile sonara sijui tajiri alikua na hali ganiMadini "yanafilisi " madini "yanatajirisha"
Ili swali ungemuuliza dangote kwa nini kaona kenya sio tangaNje ya pale hawana cha maana, ata kiwanda kidogo cha kuyeyusha nondo hawana.
Kuna ostadhi Mmoja, alipewa dili la kumuua jamaa Mmoja alikua ame hila DHAHABU, sasa huyo ostadhi ni mcha MUNGU akaenda polisi kutoa taarifa kua Kuna mtu anataka kuuliwa ili watu wapige mzigo, yule kamishina wa kile kituo akamshangaa ostadhi, akamwambia utakufa masikini wewe, Hilo ni dili tamu UKIPATA jingine nistue, unaambiwa ostadhi hakuamini majichoMachimboni kuna ukaksi wa hali ya juu, siyo kota hadi manyani wanaozamia usije ukajaa
Huyu ni mtu mmoja anamiliki yote hayo au!Kuna mzee Tajiri wa Kahama mzee Ndegesera, kuna yule mzee mmiliki wa Rocken Hills, Anderleck Ridges, ana malunch yake ya Ngombe huko kufulu.
Kuna mzee ana zaidi ya ng'ombe ya zaidi ya elfu ishirini elfu.
Si lazima kuwekeza nchini, ata nje ya nchi unaweza kuwekeza, muhimu uwe na focus tu, ndio maana Dangote anawekeza nchi yoyote kwa sababu hela ipo.Ili swali ungemuuliza dangote kwa nini kaona kenya sio tanga
Kaka wewe shida Yako unachanganya kati ya wachimbaji na matycon, hao ma tycoon wanawekeza sio kitoto, mfano waja, ana viwanda, shule nk unasemaje hawawekezi?Mashimo yakitema lazima hela uione, lakini hawa watu kwenye uwekezaji wenye tija huwa ni sifuri, wengi wanatawanya, ili kesho warudi tena shimoni.
Na sio lazima kulazimisha ulichofikiri wewe kuona kwako ni mbwembweSi lazima kuwekeza nchini, ata nje ya nchi unaweza kuwekeza, muhimu uwe na focus tu, ndio maana Dangote anawekeza nchi yoyote kwa sababu hela ipo.
Duuh,hatari basi hakuna kuaminiana huko.Mkuu ukisha ona mtu yeyote Kanda ya ziwa ni mfanya biashara wa DHAHABU, nenda vizuri wana chale Hadi makalioni, alafu ni mamafia ACHA TU hio biashara haifanywi na wazembe ni mamastar tu, ukijichanganya unatangulizwa mapema na watu wanaendelea na shughuli zao kama hakuja tokea jambo