Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
au sioWe hamisi tulia huwezi kusajili hata mchezaji mmoja wa kibongo
Pesa zimewekwa bank mkuu afu wewe si utopwinyo.?Wanasimba wenzangu tuanze kampeni ya kuzisaka B20 ziko wapi? tunataka uwekezaji mzuri..halafu kwa nini Boss Kasusa
Utopwinyo hilo achana naloPesa zimewekwa bank mkuu afu wewe si utopwinyo.?
Makolo bakuli linawahusu muhundi kanuna.Wakirudi kwenye bakuli watajuta
Wewe nchini kwako hizo dhahabu haziibiwi...wakati nchini kwake dhahabu inaibiwa na waasi
Nalijua vzr. Linamkomalia Mo wakati hii ligi bila MO kuweka hela bado tungekua gizani. Mo katia mpunga watu wameamka nao wanatoa mpungaUtopwinyo hilo achana nalo
Mimi ni shabiki wa Simba,siwezi waponda GSM Kwa kuipa klabu1300.uendeshaji wa klabu ni gharama kubwa mnooGSM anauza jezi elfu 35tsh alafu anaipa club 1300tsh hii ni haki kweli? Hata kama kuna gharama zingine lakini kuwapa uto 1300 kwenye elfu 35 sio haki ni unyonyaji!
[emoji23][emoji1787]Kulisha jitu kama bigirimana mechi 159 goli 1
[emoji23]kweli kabisa Mayele anakula kama mchwa mbwa yule!.
Najua utakuwa unaugulia maumivWanasimba wenzangu tuanze kampeni ya kuzisaka B20 ziko wapi? tunataka uwekezaji mzuri..halafu kwa nini Boss Kasusa
Hakuna waasi nchini kwangu na wala sijaita nchi nyingine kuja kulinda amaniWewe nchini kwako hizo dhahabu haziibiwi
Kabisa mkuuMimi ni shabiki wa Simba,siwezi waponda GSM Kwa kuipa klabu1300.uendeshaji wa klabu ni gharama kubwa mnoo
Zinaibiwa wapi .we nchi inapokwa madini we uko busy nchi ya watu unatetema tuuuWewe nchini kwako hizo dhahabu haziibiwi
Timu iko Egypt kwa gharama ya nani?Mokolokocho wametemwa na Gabacholi wanalazimisha eti na Gsm wanajuta π
Hakika kabisaaaPamoja na hayo mm nawapa pongezi kwa uthubutu wao kuifanya ligi yetu kuwa inapendwa na wachezaj wazur wanakuja
Miaka kumi nyuma sisi tulikuwa tunasajir wazee walofel au kustaafu lakn Leo na ss tuvutia vjana na kuifanya tz kuwa njia panda ya kwenda ulaya au North Africa
Mwisho kabisa Simba imetuheshimisha kimataifa tumain langu na yanga nayo kwa ubora wa sajil zao naiona future ya soka la bongo likipaa
Tusiwabeze wawekezaji wetu badala yake tuwaunge mkono hasa Azam media wameleta mapinduz makubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Kambole pia.Kulisha jitu kama bigirimana mechi 159 goli 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahkweli kabisa Mayele anakula kama mchwa mbwa yule!.
Waliahidiwa wataenda ulaya ila wapo misri πTimu iko Egypt kwa gharama ya nani?