Pesa haziokotwi! Mpira wetu bado haulipi kihivyo. Mo kakata moto, GSM anajuta

Pesa haziokotwi! Mpira wetu bado haulipi kihivyo. Mo kakata moto, GSM anajuta

๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
GSM anauza jezi elfu 35tsh alafu anaipa club 1300tsh hii ni haki kweli? Hata kama kuna gharama zingine lakini kuwapa uto 1300 kwenye elfu 35 sio haki ni unyonyaji!
Mimi ni shabiki wa Simba,siwezi waponda GSM Kwa kuipa klabu1300.uendeshaji wa klabu ni gharama kubwa mnoo
 
Pamoja na hayo mm nawapa pongezi kwa uthubutu wao kuifanya ligi yetu kuwa inapendwa na wachezaj wazur wanakuja

Miaka kumi nyuma sisi tulikuwa tunasajir wazee walofel au kustaafu lakn Leo na ss tuvutia vjana na kuifanya tz kuwa njia panda ya kwenda ulaya au North Africa

Mwisho kabisa Simba imetuheshimisha kimataifa tumain langu na yanga nayo kwa ubora wa sajil zao naiona future ya soka la bongo likipaa

Tusiwabeze wawekezaji wetu badala yake tuwaunge mkono hasa Azam media wameleta mapinduz makubwa
Hakika kabisaaa
 
Back
Top Bottom