Pesa huwa na tabia ya kuitana na kualikana

Wee hiyo clean money wanapata wachache sana maana kwanza hawa maboss wetu full dhuluma na mauganga
 

Na siasa za damu pia zina tabia ya kuwageuka wanaozifanya. Na wale wa kuogea maji chafu chafu watanuka nayo milele pia
 
Mkuu Mshana Jr kuna jamaa yupo Arusha anaitwa Geordavis,

hungawa pesa kwa watu hasa waimbaji, wasanii, wachungaji njaa nk,

amewahi kumpa hela mwimbaji Gothbert Goodluck, Christina Shusho, Daudi Mashimo, Faustine Munishi nk nk,

Baadhi ya watu wadai ukikubali kupokea fedha yake inakuwa ile nyota yako umemuuzia ww bila kujua, unakuta unaporomoka kutoka level uliyokuwa ya kifani, je hili lina ukweli wowote au maneno tu??
 
Niligundua hili baada ya Kunangusha Coin na Elfu kumi kwa pamoja.
Coin kelele nyiiingi af Ni jero tu huku Msimbazi upo kimyaaa.

Somo: Washefa hawanaga kelele shida ni Hawa VIREDIO.
pesa kidogo Hadi mtemdaji kata atajua.
Somo: Washefa hawanaga kelele shida ni Hawa VIREDIO.
pesa kidogo Hadi mtemdaji kata atajua😂.
 
Jiulize kwanini anagawq kwa watu maarufu tu tena mbele ya camera? Yale ni makubaliano ya yeye na wao.. Ile ni Kazi na yale ni malipo
Umrshawahi kusikia ameendesha ibada kisha akatangaza kutopokea sadaka siku hiyo?
 
Tabia ya pesa

Kwanza utambue utajiri siyo kuwa na account inayopokea na kutoa pesa nyingi, utajiri ni zaidi ya uwezo wa kutengeneza utajiri, kwa mfano mtu alieshinda bahati nasibu au kamari huyo wala siyo tajiri, huyo ni mtu masikini mwenye pesa nyingi, Asilimia 90 ya millionaire walioshinda bahati nasibu baada ya miaka mitano wanakua maskini tena"
 
Maneno ya bill gates unayaiba
 
kwa Chief Godlove ni aje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…