Pesa huwa na tabia ya kuitana na kualikana

Pesa huwa na tabia ya kuitana na kualikana

Yaani niuze viazi au kahawa nipate milioni hata kumi alafu nikae kimya au nipige dili job alafu niishi kinyonge ?
Anhaa watanisamehe Sana lazima kwanza Kijiji kijue kuwa Sasa napitia wakati mzuri nitawalesha wanakijiji na hapo nitajaza tumafuta full tank kwenye kacorolla kangu ni mwendo wa kupanda na kushuka utadhani nipo kwenye Doria .

Zikiisha napotea Kama wiki kadhaa nipo town kwa baba mkubwa nasikilizia maumivu ya utumbuaji nikirudi kijijini mpole kama sio Mimi tajiri wa siku kadhaa nyuma .
 
Nimelipenda sana andiko langu na comment au majibu yote uliyoyatoa kwa maswali ya watu nayo nimeyapenda sana .hususani majibu yako namba hasa ile namba 8🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom