LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Hakjna pesa isiyo na masharti, pesa ukifuata masharti hake zinaongezeka. Masharti nj misingi uliyoikuta na kukuzwa nayo au uunde sharti jipya baasa ya kupata ufahamuPesa nzuri ni isio na masharti
Kama zipi?Mtonyo hautaki shobo..π€£
Safinakubaliana na hoja tajwa
habari ya leoSafi
Rudia kusoma tena alichoandika mtoa mada then ndio uniquote.Kama zipi?
Njema, waendeleaje?habari ya leo
MUNGU anazidi kutupambania tunamshukuru kwa hilo kwa kweliNjema, waendeleaje?
Asante sanaMUNGU anazidi kutupambania tunamshukuru kwa hilo kwa kweli
Umepotea njia?Nimelipenda sana andiko langu na comment au majibu yote uliyoyatoa kwa maswali ya watu nayo nimeyapenda sana .hususani majibu yako namba hasa ile namba 8πππ