Pesa huwa na tabia ya kuitana na kualikana

True story
 
ipi sadaka bora na yenye nguvu mtani? Mshana Jr
sadaka ya kuchinja (damu) vs sadaka ya vitu au fedha
Kiimani kupitia dini hatutoi tena sadaka ya damu kwakuwa tendo hili lilidhafanywa na Kristo Yesu pale mlimani Golgota.. Ila unaweza kutoa malimbuko yako kanisani ya wanyama kama wewe ni mfugaji
Ubora wa sadaka unatokana na kile utoacho kama kimetimiza matakwa ya utoaji
Zaidi soma hii

Hapo kwenye kuitoa kwa usahihi na mahali sahihi ndio mtihani kupajua.
Sadaka hutolea na mtu aloenacho Cha kutoa na sababu ya kutoa pia Ili sadaka ifike inatakiwa umpe mwenye uhitaji kama mgonjwa, mwenye njaa, mwenye kiu, aliepungukiwa na nauli yaan chochote kwa jambo lolote lenye uhitaji na wakati wa kutoa hakikisha unaempa asikushukuru sana kama Kuna uwezekano Mpe alafu potea hakikisha hata sura Yako asiimak
 
naomba ufafanuzi kwenye bold text kwa faida ya wengi mkuu
Sadaka hutolea na mtu aloenacho Cha kutoa na sababu ya kutoa pia Ili sadaka ifike inatakiwa umpe mwenye uhitaji kama mgonjwa, mwenye njaa, mwenye kiu, aliepungukiwa na nauli yaan chochote kwa jambo lolote lenye uhitaji na wakati wa kutoa hakikisha unaempa asikushukuru sana kama Kuna uwezekano Mpe alafu potea hakikisha hata sura Yako asiimak
 
Epuka pesa ya mganga
Je pesa ya mchungaji/pastor ama nabii/mtume iepukwe ama ibebwe?

Kuna mtumishi mmoja akiombea watu wenye CHANGAMOTO ya kiuchumi huwapa hela yake say buku 10 ama 5 ama dola 1 nk.

Nilicho-notice wale hohehahe hiyo "mbegu" huwa haizai ila kwa wafanyabiashara hurudi kushuhudia matendo makuu ya Mungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hapo imekaa vipi mkuu Mshana Jr
 
Pesa chafu zimetawala kwa kila mwenye fedha.
  • Uvunjifu wa sheria za fedha
  • Aina za biashara au kazi inayokupa fedha (mfanyabiashara hukwepa kodi SO kaisali naye hukosa; watumishi nao hufanya retiring hewa);
  • Fedha kuisha ni kukosea kanuni nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…