Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea
zawadi nyingi na vitu vya thamani sana.
Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden ulaya kwasababu wamesoma, nawewe jitahidi uwe kama wao ukiyazingatia masomo kwasababu sweden ni nchi nzuri na ni rafiki sana wa Tanzania.
Hali hiyo ikafanya nijenge mentality ambayo haijafa hadi ukubwani kwangu.