Pesa ikikubali nitatimka bongo nikaishi Sweden

Pesa ikikubali nitatimka bongo nikaishi Sweden

Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea
zawadi nyingi na vitu vya thamani sana.

Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden ulaya kwasababu wamesoma, nawewe jitahidi uwe kama wao ukiyazingatia masomo kwasababu sweden ni nchi nzuri na ni rafiki sana wa Tanzania.

Hali hiyo ikafanya nijenge mentality ambayo haijafa hadi ukubwani kwangu.
Mkuu achana na sweden mwakani wanaondoa ubalozi wao mjini dar.Wanaufunga nenda nchi hii hapa inaitwa luxemburg ukipata viza ya kuingia hiyo nchi ujuwe umeingia nchi ya Matajiri halafu ipo na amani sana kuliko hiyo Sweden.

Null-Euro-Ticket : Luxemburg – das weltweit erste Land, in dem man gratis  reist

Luxemburg Sehenswürdigkeiten: Die 21 schönsten Orte in 2 Tagen

Drei Jahre kostenloser ÖPNV: Luxemburg sieht sich auf Erfolgskurs - SWR  Aktuell

Auto Rundreise in Luxemburg :: Saison 2024 :: Eigenanreise (LU-MWLUX) ::  Eberhardt TRAVEL

Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea
zawadi nyingi na vitu vya thamani sana.

Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden ulaya kwasababu wamesoma, nawewe jitahidi uwe kama wao ukiyazingatia masomo kwasababu sweden ni nchi nzuri na ni rafiki sana wa Tanzania.

Hali hiyo ikafanya nijenge mentality ambayo haijafa hadi ukubwani kwangu.
Jipige pige kifuani Sema Mimi mjinga
 
Back
Top Bottom