Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
Ngoja waje, jf ni darasa toshawanakuja mkuu nimesubscribe
Hakika nimeweka kambi nipate kujua ABCD piangoja waje, jf ni darasa tosha
naamini nitapata kitu na generalwise ya maisha ya huko
tatizo online scammers wengi mno.nimeona mahali Canada wanahitaji wahamiaji 1.5M 2024-2026
vipi hapo
tunataka tukimbie bongo watupe updates za majuuwanakuja kuwa mpole
official;tatizo online scammers wengi mno.
vp ni official canada website or tz embassy??
ngoja niicheki chief
Ukipata chance nenda mkuu katafute maishaTangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea
zawadi nyingi na vitu vya thamani sana.
Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden ulaya kwasababu wamesoma, nawewe jitahidi uwe kama wao ukiyazingatia masomo kwasababu sweden ni nchi nzuri na ni rafiki sana wa Tanzania.
Hali hiyo ikafanya nijenge mentality ambayo haijafa hadi ukubwani kwangu.
nimeiona mkuu japo naona imebase kwa french speaking ,pia kwa watu wa fani mbalimbali.
Ngoja waje, jf ni darasa tosha
daah itabidi baadhi tutawanyike, wengine wabaki bongoUkipata chance nenda mkuu katafute maisha
wapi hii chief , daah bongo bhana
Ni sehemu nzuri ya kuchuma.kwa wazoefu hali ikoje sweden, nataka nizamie huko
huku katoro nishachoka
Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea