Pesa imeshika hatamu kuliko upendo wa kweli

Pesa imeshika hatamu kuliko upendo wa kweli

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Hii ni kotekote, upande ke na upande me huingia penzini kimasilahi hivyo inachangia sana mahusiano yatawaliwe na ugomvi na ndoa kutokuwa na amani, sababu mtu anaingia penzini akitarajia kitu fulani akikikosa ndipo anafungua makucha au akishakipata ndipo hufungua makucha.

Shetani kasimama kidete kwenye pesa. Pesa ni shetani ingawa bila pesa bado hatujaishi.

Mungu tusaidie🙏
 
Pesa kiasi gan inatosha Ili uwe na Mwanamke kwenye mapenzi?.

Kwa mfano...

Kuna Mkulima..

Kuna Mwalimu..

Kuna Daktari..

Kuna Mfanyabiashara..

Hawa wote Kila Mmoja Yuko kwenye Muzani wake wa Uchumi

Pesa kiasi gan inatosha ?..

Nadhani MAPENZI myaache yawe mapesa.

Na Biashara ya Ngono iacheni iitwe Biashara.

Mnafanya Biashara ya Ngono, mnajifanya kuita Mapenzi ?!!!.
 
Ni kweli Mapenz yamekuwa biashara ya ngono maana si wake za watu Wala wanaume(mashoga) wote huliwa ovyo sababu ya pesa.😔
 
Tuache tu kuaminiana....ukimwamini sana akigeuka utakufa kihoro🤣
Imani ya penzi na pesa inakuja vipi?
Sema tuache kupeana pesa/penzi la maslahi au unaonaje?

Ukiona mtu anataka pesa unaachana naye
Ukiona mwamba anakuburuza tu papuchi hadi inatepeta unaachana naye

Au unaonaje hilo?😅
 
Sikuhizi kuna biashara ya ngono tu hamna mapenzi isipokuwa kwa wachache waliobahatika. Wengi wanangalia atafaidika vipi na huo uhusiano wenu wa kingono aidha kwa fedha ama mali.
 
Back
Top Bottom