Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Kuna sehemu hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi kuzifikia au kuingia nchi za aazungu.
Pia kuna vifaa hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi uziwa hii ni kwa nchi za wazungu tu.
Haya njoo hapa AFRICA ni sehemu gani ukiwa na pesa hapa africa hauwezi kufika au kuingia?
Au ni kitu gani hapa AFRICA ukiwa na pesa hauwezi kuuziwa?