Pesa inavyonifanya kuwa kicheche

Pesa inavyonifanya kuwa kicheche

Tanzania ina safari ndefu sana, kama watu wenyewe ndio hawa aliowaandaa Baba wa Taifa. No wonder umaskini, ujinga, na maradhi vinachipuka kila mahali kila uchao.

Where ignorance is bliss, it is folly 2B wise.
We mmalawi umegundua nn mpaka sasa kinachosaidia jamii yako?
 
Msemo unabaki pale pale, tunawapa mzuka wa kutafuta pesa
Mzuta wakati mnatukataa manawapa wenye hela?? Nshajua kwann wenye hela hawana mapenzi kumbe wamepitia mengi kama haya
 
Wadau musalam!!!

Napitia changamoto saana kwenye hali yangu ya mahusiano kwa sasa...

Nimegundua nna moyo wa mapenzi ya dhati saana tatizo ni mkwanja yaani pesa inanifelisha mpaka napagawa yaani.

Yaani ipo hivi kwakuwa nimejaaliwa dizaini ya mwonekano wa mtu mwenye vijisenti so imekua rahisi kwangu kuwanasa watoto wazuri.

Shida inakuja kwenye expectations zao, yaani wanadhani mi ni bonge la danga la kutatua shida zao wakati binafsi zangu msoto mbaya.

Basi naishia kuwala na kuwekwa "sabu" roho inaniuma ila wananiambia tatizo hela sina hiyvo niwe mpole mpaka ifike zamu yangu.. Roho inaniuma naenda kwa mwengine napo ni ivo ivo

Mwisho najikuta kipindi kifupi nishawatafuna wengi bila kutegemea yote kwasababu ya pesa moyo unaniuma kwakuwa sijazoea kuwachezea...

Nawaza nitafute mtaalam ka vip aondoe chumba cha mapenzi kwenye ubongo wangu nisiwawaze kabisa wa nisiwe na hamu ya kula mzigo.. Nimejeribu Nofap nimefel coz mzuka wa kula mzigo ka nimetupiwa jini yaan na wakummiliki mwenyewe sina nnaowapata wanataka ni share sababu sina hela..

Swali
Wanawake kweli kabisa hamna true love?? You only love money???
Ina maana baada ya matokeo ya form four kutoka shule ndo basi tena? Si hata nenda kajiunge Computer Course au English Course kuliko kukaa kuwaza vitu vya kipumbavu na kuja anzishia uzi? Hapo kwa dada yako akiachika. Si mnaachika wote?
 
Wanawake Ni kweli kabisa hamna true love?you love only money?😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Tafuta hela....acha mawazo ya muonekano wa hela ilhali huna hela.
 
Back
Top Bottom