Pesa inavyonifanya kuwa kicheche

Pesa inavyonifanya kuwa kicheche

Ina maana baada ya matokeo ya form four kutoka shule ndo basi tena? Si hata nenda kajiunge Computer Course au English Course kuliko kukaa kuwaza vitu vya kipumbavu na kuja anzishia uzi? Hapo kwa dada yako akiachika. Si mnaachika wote?
Kwa taarifa yako isingekua baba yako kuniwahi mi ningekua baba yako boya wewee
 
Una warranty card ya miaka mingapi??
eti warrant card. maisha ni tahadhari bila tahadhari watu wangekufa wakiwa watoto ila sababu wazazi walichukua tahadhari kukulinda ukafika umri wa kujitambua ukafanya ngono zembe ukafa ukawacha hata hao wazazi walio kulea. mungu amekupa miaka 80 chini ya hapo huna cha kumlaumu utailaumu hii dunia yako iliyojaa matatizo na magojwa..chukua tahadhari wacha ngono
 
utakufa! utakufaaa! vibaya nakuhurumia wewe...
Una warranty card ya miaka minga
eti warrant card. maisha ni tahadhari bila tahadhari watu wangekufa wakiwa watoto ila sababu wazazi walichukua tahadhari kukulinda ukafika umri wa kujitambua ukafanya ngono zembe ukafa ukawacha hata hao wazazi walio kulea. mungu amekupa miaka 80 chini ya hapo huna cha kumlaumu utailaumu hii dunia yako iliyojaa matatizo na magojwa..chukua tahadhari wacha ngono
Fact... I take it buddy
 
Wadau musalam!!!

Napitia changamoto saana kwenye hali yangu ya mahusiano kwa sasa...

Nimegundua nna moyo wa mapenzi ya dhati saana tatizo ni mkwanja yaani pesa inanifelisha mpaka napagawa yaani.

Yaani ipo hivi kwakuwa nimejaaliwa dizaini ya mwonekano wa mtu mwenye vijisenti so imekua rahisi kwangu kuwanasa watoto wazuri.

Shida inakuja kwenye expectations zao, yaani wanadhani mi ni bonge la danga la kutatua shida zao wakati binafsi zangu msoto mbaya.

Basi naishia kuwala na kuwekwa "sabu" roho inaniuma ila wananiambia tatizo hela sina hiyvo niwe mpole mpaka ifike zamu yangu.. Roho inaniuma naenda kwa mwengine napo ni ivo ivo

Mwisho najikuta kipindi kifupi nishawatafuna wengi bila kutegemea yote kwasababu ya pesa moyo unaniuma kwakuwa sijazoea kuwachezea...

Nawaza nitafute mtaalam ka vip aondoe chumba cha mapenzi kwenye ubongo wangu nisiwawaze kabisa wa nisiwe na hamu ya kula mzigo.. Nimejeribu Nofap nimefel coz mzuka wa kula mzigo ka nimetupiwa jini yaan na wakummiliki mwenyewe sina nnaowapata wanataka ni share sababu sina hela..

Swali
Wanawake kweli kabisa hamna true love?? You only love money???
Hahaha
 
Back
Top Bottom