Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Ndiyo maana Chadema ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.

Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu,
. Lema na Lisu Familia zao wanalishwa na wazungu.
Hapo ndipo nilipo jua kua vyama vya upinzani tz vinatumiwa na mafisadi kina rostam azizi ..gsm ..na mafisadi ya madini
 
Ukiona hivi ujue pesa inakamuliwa kutoka kwenye kodi na ushuru na serikali haitoi ajira.
Ajira zikitolewa maana yake ni mifereji ya kuleta pesa mtaani
Akili zako ndogo sana ...kazi kuu ya pesa ya serikali siyo kulipana mishahara
 
Hapo ndipo nilipo jua kua vyama vya upinzani tz vinatumiwa na mafisadi kina rostam azizi ..gsm ..na mafisadi ya madini
Sasa Rostam si m ccm mwenzenu?
Unakiri wazi kuwa ccm ni mafisadi wakubwa?
 
Mafisadi ya samia yana torosha pesa za serikali na kuzificha nje ya nchi tofauti na mafisadi wote tulio kuwa nao vipindi vya nyuma...sasa hivi pesa zote asilimia 70 % zinazo ibiwa na mafisadi papa zinapelekwa arabuni na south africa ...wakati wa kikwete mafisadi yalijisahau yakawa yanawekeza pesa wanazo iba nchini ...sasa hivi wana hofu uenda akatokea rais mzalendo kama JPM hivyo mali zao za kifisadi kukamatwa
 
Akili zako ndogo sana ...kazi kuu ya pesa ya serikali siyo kulipana mishahara
Kumbe hata hujui nini kinasababisha mzunguko wa pesa.
Seriksli ndiye tajiri mkuu, mwajiri mkuu na mmiliki mkuu wa pesa.
Pesa inakuja mtaani kupitia;
1. Mishahara na posho
2. Kutoa tenda.
3. Kuanzisha miradi ya maendelea.

Kupitia hayo hapo juu watu hulipwa pesa na pesa huja mtaani.

Waliolipwa na serikali nao huanzisha biashara na kulipa watu mishahara.

Waliolipwa mishahara nao hufanya manunuzi ndipo uchumi na pesa huchangamka mtaani
 
Hii nakuelewa kiasi
 
Sasa Rostam si m ccm mwenzenu?
Unakiri wazi kuwa ccm ni mafisadi wakubwa?
Rostam azizi siyo ccm wala upinzani bali yeye ni kundi la mafisadi na raia feki ambao wao wanacheza tu na upepo wa adui yao mkubwa ni mtu yoyote aliye (mzalendo) iwe huyo mtu ni ccm au upinzani aijalishi na rafiki yao mkubwa ni yoyote aliye kinyume na uzalendo awe ni ccm au upinzani hivyo wakati wa JPM Rostam azizi na wahuni wenzie walikuwa nyuma ya watu wote wanao pinga uzalendo wa jpm hivyo alikuwa nyuma ya chadema maana nao walianza rasmi kupinga uzalendo wakawa watetezi wa mafisadi wote hadi wamadini nk
 
Ndio maana Magufuli alikuwa uchumi, yeye kila kitu Jeshi, ujenzi Jeshi kampuni za ujenzi zinakufa, ulinzi Jeshi Suma JKT, kampuni binafsi zinakosa malindo yenye malipo bora.

Magufuli alitamani Hadi Taifa stars iwakilishwe na Jeshi, lakini ajabu Jeshi lilishindwa kutii Amri ndogo tu ya kwake kumtowa hospitali kurudisha nyumbani akafie nyumbani.
 
Mbona JPM alikuwa akimwalika Ikulu?
 
Tatizo kubwa ninaloliona ni pesa nyingi kwenda Chin na Japan, maana hata dollar haipatikani muda huu, lazima ukainunue kwenye blaack market, na inauzwa 2,700/=. Shida hapa ni capital nyingi inatumika kuagiza magari na bidhaa nyingine za kijinga jinga toka China na Japan, tunabaki hatuna pesa mtaani, na magari namba E yamefurika barabarani, pesa itatoka wapi?
 
Haikuwa sawa serikali humiliki njia zote za uchumi
 
Hali ikiendelea hivi nchi itakwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…