Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa masilahi ya wenye kinyago chao mkuuHii ni shida ya kuweka mwanasesere pale juu...
Njia ipi au bank gani nzuri kuhifadhi?Gold na silver ni nzuri sana kwenye kutunza thamani ya ulicho nacho , ni inflation resistant
Vimetumika maelfu ya miaka
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Apana tajiri kuna mtu hajafikia uwezo wako, ndo maana tunashangaa ukilalama tunashangaa😀😀😀Matajiri akina Bakhresa na Mo sisi waganga njaa ndio maana tunalia.
Mkojo wake utaharibu kipimoDuh
Itabidi tukupime mkojo ww
Uko sahihi sana mkuu, ila niamini hawa jamaa wanajua wanachofanya na hawana shida na walala hoi kwa sababu utawala na nguvu hauko kwa walala hoi.Mkuu unakumbuka 2015?
Kilichompa Magufuli urais ni kelele za wanyonge zilizidi ikawa hakuna namna Membe mtoto mpendwa akatiswa?
Mbaya zaidi tutaendelea kumuona sana, jitahidi uwe chanya tu mkuu, hakuna namna.Huyu MAMA akufaa kuwa RAISI
Ni kweli, kikwete ni chanzo Cha mgenge ya ufisadi, na huyu mama anayelea kwelikweli, something must be done.Gwajima aliongea vizuri sana alipoingia bungeni kuwa hii tabia kila rais akiingia anaanza lwake hatufiki.
Kwangu mimi JK ndiye alikuwa muharibifu zaidi na magenge yake.
JPM alikuwa na nia njema sana ya kuijenga nchi...isipokuwa ubabe na kutosikiliza wataalamu wa uchumi.
But...Magufuli alianza kutufanya tuanze kutumia akili zaidi.
Sasa tuko zama za uchawa mtupu na hatujui uelekeo
Hali mbaya udangaji na malaya wanaongezeka tu pia ni chanzo Cha kataa Ndoa Hali ngumu.Tunafanyaje sasa kujinasua wadau, maana kiukweli mambo si mambo kwa sasa.
Kuwa na adabu, ficha upumbavu wako.Mlizowea mteremko, mama kaanza kukaba mpaka penalty.
Wizi wa mali za umma tunawaona mnavyolalamika humu.
Kama mchaga hafai,kimeiNimemsikia Leo Mabeyo anasema kabla ya Magufuli kukataa roho aliitwa Mzena akaambiwa Hali mbaya, Magufuli naye akamwambia Mabeyo wewe ni CDF waamuru haw wanirudishe nikafie nyumbani siwezi kupona.
Baada akaomba aitiwe paroko wake wa Saint Peters oysterbay na Kardinali Pengo.
Baadaye ya kukata roho Mabeyo ndiye aliyeambiwa, akamuita waziri mkuu na Bashiru wakaulizana Nani anapaswa kutangaza ikabidi waangalie katiba, hapo Mama aliwekwa pembeni na Mabeyo.
Hadithi hii inatufundisha Mabeyo alipewa fursa na Mungu kuwakombowa Watanzania lakini alishindwa kuitumia.
Kuyaondowa haya mashetani ya CCM itatuchukuwa muda Sana.
Hivi Una mtu kama Dr Kimei na hayumo kwenye cabinet umejaza Wahuni na machawa tu, mnatarajia unafuu upi wa Maisha?
Tuendako ni hatari, kama dollar hakuna tutaagizaje bidhaa muhimu kama mafuta?Hela hakuna mpaka dollar nayo ni adimu balaaa
MUNGU tusaidie
Usiwe mbaguzi hivyoKama mchaga hafai,kimei
Mhafidhina huyoKuwa na adabu, ficha upumbavu wako.