Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

Mkuu unakumbuka 2015?
Kilichompa Magufuli urais ni kelele za wanyonge zilizidi ikawa hakuna namna Membe mtoto mpendwa akatiswa?
Uko sahihi sana mkuu, ila niamini hawa jamaa wanajua wanachofanya na hawana shida na walala hoi kwa sababu utawala na nguvu hauko kwa walala hoi.

Itawezekana hilo pale tu siku power itaporudishwa kwa watu, sijui kama unajaribu kunielewa.
 
Gwajima aliongea vizuri sana alipoingia bungeni kuwa hii tabia kila rais akiingia anaanza lwake hatufiki.

Kwangu mimi JK ndiye alikuwa muharibifu zaidi na magenge yake.

JPM alikuwa na nia njema sana ya kuijenga nchi...isipokuwa ubabe na kutosikiliza wataalamu wa uchumi.

But...Magufuli alianza kutufanya tuanze kutumia akili zaidi.

Sasa tuko zama za uchawa mtupu na hatujui uelekeo
Ni kweli, kikwete ni chanzo Cha mgenge ya ufisadi, na huyu mama anayelea kwelikweli, something must be done.
 
Nimemsikia Leo Mabeyo anasema kabla ya Magufuli kukataa roho aliitwa Mzena akaambiwa Hali mbaya, Magufuli naye akamwambia Mabeyo wewe ni CDF waamuru haw wanirudishe nikafie nyumbani siwezi kupona.

Baada akaomba aitiwe paroko wake wa Saint Peters oysterbay na Kardinali Pengo.

Baadaye ya kukata roho Mabeyo ndiye aliyeambiwa, akamuita waziri mkuu na Bashiru wakaulizana Nani anapaswa kutangaza ikabidi waangalie katiba, hapo Mama aliwekwa pembeni na Mabeyo.

Hadithi hii inatufundisha Mabeyo alipewa fursa na Mungu kuwakombowa Watanzania lakini alishindwa kuitumia.

Kuyaondowa haya mashetani ya CCM itatuchukuwa muda Sana.

Hivi Una mtu kama Dr Kimei na hayumo kwenye cabinet umejaza Wahuni na machawa tu, mnatarajia unafuu upi wa Maisha?
Kama mchaga hafai,kimei
 
Back
Top Bottom