Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Hili jambo ni mtambuka sana ,Qatar wenyewe wamekubali kulinda mashoga na haki zao (ushoga kwa ujumla) katika kipindi chote za world cup . Kwa mantiki hii mtu mwenye imani hakutakiwa ku support w.cup kwa njia yoyote ile ikiwemo kutazama hii michuano .
 
Ushoga hatuwezi kuupinga Completely sisi africans ni wanafiki haswa na Pengine kuna mambo yanazoeleka na jamii slowly inshu ya ushoga kwa wenzetu sio inshu ndo mana iko publiced
 
Ushoga hatuwezi kuupinga Completely sisi africans ni wanafiki haswa na Pengine kuna mambo yanazoeleka na jamii slowly inshu ya ushoga kwa wenzetu sio inshu ndo mana iko publiced
Tatizo kutumika nguvu kuufanya ushoga uonekane ni kitu cha kawaida.
 
Amekata kuvaa jezi ya kuunga mkono ushoga jamaa ana imani ya nguvu sana Mungu amsaidie amin.

Your browser is not able to display this video.

Download
720
 
lakini kuna mkataba wa kufanya kazi ya kucheza mpira iliyomfanya aajiriwe, ikiwa ni pamoja na kuvaa jezi za mazoezi, away na home games. Au ulitaka acheze uwanjani na jezi yenye rangi tofauti na waliyovaa wenzake? 😁
Rangi hiyo hiyo isiyo na nembo ya mashoga.
 
Rainbow ni nembo ya mashoga, ndo aliyokataa.....hajakataa jezi.
Kwa hiyo rainbow ikitokea angani unajificha? Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa maagizo ya kuvitawala vitu vyote. Sasa hapa watu mnataka hata rangi za upinde wa mvua zitutawale, kwamba ukionekana nazo basi ni jambo baya! No, haiwezekani hata kidogo. Rangi zitutii wanadamu, sio wanadamu tuzitii rangi

Ushoga hatuwezi kuupinga Completely sisi africans ni wanafiki haswa na Pengine kuna mambo yanazoeleka na jamii slowly inshu ya ushoga kwa wenzetu sio inshu ndo mana iko publiced
Ubaya wake sasa, hawana uwezo wa kuupinga wala kuuzuia, wanaishia kulia mitandaoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…