Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo lako pia liheshimike,huu ni mdahalo.
Hata mm nashangaa utadhani yy ndio anapumuliwaAlitaka kuwafurahisha Wa africa, wee hujui, sasa ndo apambane kivyake.
Mwenye team yake hana nongwa,halafu ukizingatia huyu ndio aliekuletea hii dini unayoiabudu leo
Huko kwenu hujawahi kucheza mipira ya makaratasi?Hata huu mchezo wa mpira unaotufanya tushabikie simba na yanga nao tumeletewa mkuu, kwahiyo tulivyo letewa ni vingi.
Well saidDunia ina wenyewe bila chapa yao Hakuna kuuza wala kununua
ni hela sio elaWavae tu muhimu ela .
Ndio nasema huo mchezo wa mpira tumeletewa iwe tunatumia mpira wa makaratasi au wa gozi.Huko kwenu hujawahi kucheza mipira ya makaratasi?
Tatizo kutumika nguvu kuufanya ushoga uonekane ni kitu cha kawaida.Ushoga hatuwezi kuupinga Completely sisi africans ni wanafiki haswa na Pengine kuna mambo yanazoeleka na jamii slowly inshu ya ushoga kwa wenzetu sio inshu ndo mana iko publiced
Kwani huyo ndio aliyepanga hizo sheria za kwenye dini?Mwenye team yake hana nongwa,halafu ukizingatia huyu ndio aliekuletea hii dini unayoiabudu leoView attachment 2238370
View attachment 2234299
Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.
Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni kinyume na asili yake na pia dini yake hairuhusu.
Sasa ishu inapokuja ni kwamba mchezaji huyu analipwa milioni 200 kila wiki na watu wanaofanikisha hilo jambo wao wanapenda kuunga mkono ushoga, wamechukizwa na mchezaji huyu kutovaa jezi na kwa sasa imembidi mchezaji achague kimoja kati ya kitita cha milioni 200 ama kurudi Afrika.
Muafaka bado haujafikiwa hadi sasa japo kuna picha za uzushi kama niliyoambatanisha zinasambaa .
Je ni kipi atakichagua kati ya milioni 200 za kila wiki ama kurudi afrika.
wachezaji wengine wa kiislam wakiwemo Benzema, Kante, Pogba, n.k wao wanavaa kama kawaida.
Rangi hiyo hiyo isiyo na nembo ya mashoga.lakini kuna mkataba wa kufanya kazi ya kucheza mpira iliyomfanya aajiriwe, ikiwa ni pamoja na kuvaa jezi za mazoezi, away na home games. Au ulitaka acheze uwanjani na jezi yenye rangi tofauti na waliyovaa wenzake? 😁
Haikuwapo nembo, amekataa jezi kwa kuwa ina rainbow ambazo ni rangi piaRangi hiyo hiyo isiyo na nembo ya mashoga.
Rainbow ni nembo ya mashoga, ndo aliyokataa.....hajakataa jezi.Haikuwapo nembo, amekataa jezi kwa kuwa ina rainbow ambazo ni rangi pia
Kwa hiyo rainbow ikitokea angani unajificha? Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa maagizo ya kuvitawala vitu vyote. Sasa hapa watu mnataka hata rangi za upinde wa mvua zitutawale, kwamba ukionekana nazo basi ni jambo baya! No, haiwezekani hata kidogo. Rangi zitutii wanadamu, sio wanadamu tuzitii rangiRainbow ni nembo ya mashoga, ndo aliyokataa.....hajakataa jezi.
Ndo apambane sasa kivyake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mm nashangaa utadhani yy ndio anapumuliwa
Ubaya wake sasa, hawana uwezo wa kuupinga wala kuuzuia, wanaishia kulia mitandaoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushoga hatuwezi kuupinga Completely sisi africans ni wanafiki haswa na Pengine kuna mambo yanazoeleka na jamii slowly inshu ya ushoga kwa wenzetu sio inshu ndo mana iko publiced
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo rainbow ikitokea angani unajificha? Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa maagizo ya kuvitawala vitu vyote. Sasa hapa watu mnataka hata rangi za upinde wa mvua zitutawale, kwamba ukionekana nazo basi ni jambo baya! No, haiwezekani hata kidogo. Rangi zitutii wanadamu, sio wanadamu tuzitii rangi
View attachment 2238678