Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Chukua mpunga huo wa 200M hao wanaopigana miti watajuana wenyewe na Mungu wao
Nalog off Z
 
Kabla sijakujibu, una marinda? Nisijekuwa napoteza muda kukujibu.
Mwenzio kakataa kuvaa jezi yenye kusapoti ushoga na sababu ni imani yake ya dini, sasa nakuuliza wewe sababu yako ni ipi au ndio kwa sababu wewe ni mwanaume tu?
 
Mwenzio kakataa kuvaa jezi yenye kusapoti ushoga na sababu ni imani yake ya dini, sasa nakuuliza wewe sababu yako ni ipi au ndio kwa sababu wewe ni mwanaume tu?
Sababu Ni Mimi nimekataaa, Sasa wewe unataka sababu gani?
 
Ina maana yeye ni muislamu kumzidi bosi wake yule shehe kutoka uarabuni,mmiliki wa timu??..waafrika tuna matumizi mabaya ya akili..
Muislamu kumzidi Boss wake maana yake nini?ukishakuwa muislamu imani uliyonayo ni wewe na Mungu wako,anaweza akawa anamzidi ndio,ila anayejua ni Mungu pekee,imani haina hatimiliki.
 
Duuh!! Mwamba analipwa M200 kwa wiki kwa hali hii ya kiuchumi ilivyo ngumu africa sizani kama atakubali kuendelea kushikilia imani yake pesa kitu kingine bro.
 
Maamuzi n yake aidha Pesa au Imani yake.
Atachagua hapo kipi ni sahihi kwake. Lol.

DJ waleteeeeeeeeeeee, [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
mbona rangi za ki JAH tuu..
ajione km amevaa rastafarian tuu.
africa sio kuzuri jamani.
bora uwe popo ulaya kuliko mtu africa.hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee jaman, khaaaah
 
Na wakisha kupeleka Jela, lazima wakudunge sindano ya kukutia ushoga, na wwe mwenyewe ndiyo utaanza kutafuta mabasha wa kukuna Tigo!! Wazungu nyokoo sana!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Heri yake anapinga ushoga kwa vitendo. Ni bora akose hele za mashoga leo, kwa imani yake atapewa wanawake 72 akhera, wote mabikira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] ila watu khaaah
 
Akili kubwaaaa sana wee.
 
Na atajua mbivu na mbichi, tena kapewa na choice ya kurudi Africa, hapo ashindwe yeye tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
ACHUKUE HIYO HELA AKAJENGEE MSIKITI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…